Wanawake hatupendi wanaume wasio na hela!

Wanawake hatupendi wanaume wasio na hela!

Ongezea kwa mwanamke anayependa hela atakuwa Kama mfuko wa takataka. Kila mwanaume atashusha mzigo wake hapo..

Unaweza ukahisi unamkomoa mwanaume, kumbe unajikomoa. Hela ziko zinatafutwa.
Kwani kil anayetoa hiyo pesa lazima apewe mzigo? Nyie mko wapi kwani😂
 
Niliona majukumu ya kutafuta ugali nikawa nimesahau yaani hapa nimefura 🤣 na usafr ulivyo jau hata selew
Hayo mambo ndio siyatakagi aisee unafika home sukari iko juu🤣
Pole sana, baba ako wa kambo yuko wapi leo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom