Wanawake hatupendi wanaume wasio na hela!

Wanawake hatupendi wanaume wasio na hela!

Turudi kwa wadhamini wetu kupata matangazo....................

1788214465068.png
 
Sisi tunapenda vishimo vyenu tu, ndo maana wanaume tupo tayari kutumia gharama yoyote, hata kuleta posa kwa wanaojifanya wanamisimamo tukisha kukula tu hatutaki tena hata kukuona.
 
Wanawake ambao wanatamani Maisha Mazuri Lakini hawajishuhurishi na chochote (hawafanyi kazi yeyote),
We hutamani maisha mazuri ?
Kwanini unasema asiyejishughulisha ni poor minded?
Pamoja Wanawake ambao Wapo Tayari kulala na Mwanaume mwingine kwasababu ya Fedha (. Malaya).

Hayo ni maamuzi ya mtu aliye na akili timamu na sababu zake sidhani kama atakuwa poor minded
Kwa ujumla wao tunawaita poor minded women.
I don't think so
That's can't be a valid reason
 
Ni fikra ya kimasikini kwa sababu inaendeleza mfumodume na fikra kwamba mwanamke ni mtu wa kuhudumiwa tu.

Inawabweteza wanawake, ina wa commoditize na kuwa objectify wanawake.

Inawafanya wawe property, wananunuliwa kwa pesa tu.

Inadumaza human potential ya mwanamke.
sawa sawa ,ila utakuta wao wanakuambia wameumbwa kuomba na kupewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom