Wanawake hatari wakuoa!

Lakini hawa Walimu wenyewe mbona wengi sana ndio ma singo Mothers..!!
 
Walimu bado ni kimbilio la wengi wanaohitaji familia na mke bora!
Tena walimu ndo hatari kabsaaa maana wanapenda mno vya buree..boda boda atamlaa....muuza chips atamlaaa na mtu yeyote wa halmashaur akimtokea lazma akubali
 
Tutaoa kweli,kama ndio hivi! naona umemaliza wote hapo...
 
Mwanamke anayefaa awe nabii au mchawi . ..hahaha
 
Mwanamke yeyote hachungwi na mumewe hata kama hatoki ndani anachungwa na hofu ya Mungu (popote atakapokuwepo Mungu anamuona). Oa mwanamke yeyote ili mradi awe anampenda Mungu kwa dhati (sio kuigiza) huyo ataogopa kutenda dhambi ya ngono sio kwasababu hakutani na watu bali anamuogopa Mungu kwamba anamuona kokote anapotaka kutenda dhambi. Mkuu uliye anzisha thread kama mwanamke hamuogopi Mungu hataogopa kutoka nje, utachapiwa tu hata kama unamfungia ndani.
 
Si kweli.

Unaweza kuwa na mwanamke 24/7 na kama ni mzinzi atafanya uzinzi na wewe upo unamlinda.

Na unaweza kuwa na mwenye fani yeyote kati ya ulizozitaja na asiwe kama ulivyosema.

Soma kitabu cha Alf Lela Ulela cha kingereza ndiyo afadhali kimesheheni (cha Kiswahili kimekatwa katwa sana). Au kama unajuwa Kiarabu tafuta cha Kiarabu, kuanzia mwanzo wa hicho kitabu utazisoma hila za wanawake na jinsi usivyoweza kuwazuia. Utakuta humo na kisa cha Kashkash na binti wa mfalme. Kashkash alimfungia huyo binti kwenye masanduku saba na kila sanduku lina kufuli saba na anamchunga kutwa kucha licha ya kumweka chini ya bahari lakini aliliwa mara 100.

Njia nyepesi na rahisi ya kufanya mwanamke yeyote asiwe mzinzi ni kumridhisa, vipi? Soma hiki kitabu: Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa
 
Acha woga mkuu ....Ukitaka unaoa mwanamke yoyote hata awe raisi wa nchi kikubwa upige pumbu kisawasawa mpaka akiondoka kwenda kazini amenyooka.
 
aaah mawazo ya kindezi popote pale mwanamke akiamua kuchetuka anachetuka tu.
 
Neno!!!
 
Tutaoa kweli,kama ndio hivi! naona umemaliza wote hapo...
lazima tuoe mana kiuhalisia kama hakuna binadamu mkamilifu vivo hivyo hakuna mwanamke wala mwanaume mkamilifu....ukisubir aliyekamilika asilimia 100 utakaa hvohvo.....
 
Mkuu naomba unipe link nikidownload ndugu kwa version ya kingereza na kisawahili pia kwa pamoja. alfu lela ulela kwenda kuibadilisha kwenda kingereza ni ngumu.
 
Acha woga mkuu ....Ukitaka unaoa mwanamke yoyote hata awe raisi wa nchi kikubwa upige pumbu kisawasawa mpaka akiondoka kwenda kazini amenyooka.
MKUU UMETISHA NATAMANI KUJUA JINSIA YAKO.
 
Nami nilikua na wazo kama lako lakini awe mwalimu wa vidudu, shule ya msingi na mwisho sekondari. asiwe lecturer
Eeh ni kweli hata mimi hapa jf kuba mwalim namvizia vizia japo naona mambo hayajipi
 
Dah...dem wangu ni suka wa daladala....sijui itakiwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…