Ok bibie nimekupata ngoja namie ntafute wa kunipa chapaa nisijefia muhimbili.
Nilivyosoma heading tu nikajua ni natalia huyu
hapa nimekuja kuhakikisha tu
haya usiku mwema na wewe
My hubby Rutherford loves me .his money is ours and mine is mine .haya mambo ya mapenzi pesa Baraka mtafia muhimbili.
Daaah Natali uishiwi vituko! Kwa hiyo pesa zako wewe una peleka wapi?
Ila huyo Rutherford nae ana kazi.manake natalia kutwa kucha anamuwaza yeye na pesa zake tu. Hivi si inachosha sana kuwa na mwanamke wa hivi?
Mwanamke Wewe ndio bossy lady be like one .you need to run the show in the house.mwanaume akikuomba pesa tu ukimbie .a really men haombi.usiku mwema
Halafu nyie sasa msifikie kuwashauri wenzenu kuhakikisha akina baba wanabeba ujauzito sasa...Ana kazi sio kidogo lol...........mke mwenza wewe humuwazi Paw na mahela yake?
Halafu nyie sasa msifikie kuwashauri wenzenu kuhakikisha akina baba wanabeba ujauzito sasa...
Ana kazi sio kidogo lol...........mke mwenza wewe humuwazi Paw na mahela yake?
Nilivyosoma heading tu nikajua ni natalia huyu
hapa nimekuja kuhakikisha tu
haya usiku mwema na wewe