Wanawake hakikisheni wanaume Wenu wanawapa mshahara wao

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Mwanamke Wewe ndio bossy lady be like one .you need to run the show in the house.mwanaume akikuomba pesa tu ukimbie .a really men haombi.usiku mwema
 
Kwani mumeo anakupa mshahara wake?so are u after money or love?
 
Kwani mumeo anakupa mshahara wake?so are u after money or love?

My hubby Rutherford loves me .his money is ours and mine is mine .haya mambo ya mapenzi pesa Baraka mtafia muhimbili.
 
Ok bibie nimekupata ngoja namie ntafute wa kunipa chapaa nisijefia muhimbili.
 
mhm kweli ipo kazi...so mwanaume lazima awe fully loaded. je na mwanamke anaweza kuwa wife?
 
My hubby Rutherford loves me .his money is ours and mine is mine .haya mambo ya mapenzi pesa Baraka mtafia muhimbili.

Huo sio mpando dadangu, hela zake ni zenu na zako pia ni zenu, hayo ndio mapenzi. sasa wewe zako zinaenda wapi au kuna baadhi ya mambo huombi??
 
Mwanamke Wewe ndio bossy lady be like one .you need to run the show in the house.mwanaume akikuomba pesa tu ukimbie .a really men haombi.usiku mwema

You are very wrong my dear,mapenzi ni kusaidiana.
 
Mshahara upewe uende saloon, halafu mtoto augue ghafla uone kitakachotokea..........ohooooooooooo!
 
Natalia Una maana gani? Najitahidi kukuelewa ila sina uhakika kama nitafanikiwa, LOL!
 
Last edited by a moderator:
haya mkuu haya maisha kwa kweli hayana formula bora uoe kichaa wako kule mirembe ujue utamhudumia
 
Yaani mie mwanamme wangu ananikabidhi ATM yake na pin code

Ila account inasoma nini?
 
Mwanamke Wewe ndio bossy lady be like one .you need to run the show in the house.mwanaume akikuomba pesa tu ukimbie .a really men haombi.usiku mwema

A realy man haombi...!!!ila akikwama ww kama mke una wajibu wa kumsaidia utakimbia wangapi???
 
binafsi napenda kuwa na hela zangu, na ninazitafuta haswaaaaaaaaaaa...................sipendi kumtegemea mwanaume.......na naenjoyyyyyyyyyyyyyyyyyy siku baba naniliu akiomba nimpige tafuuu
 
Mwanamke Wewe ndio bossy lady be like one .you need to run the show in the house.mwanaume akikuomba pesa tu ukimbie .a really men haombi.usiku mwema

si busara kupotosha ukweli hata kama haupendi. tena akikuomba anatumia busara alitakiwa achukue kwani yy si ndiye mtawala wa familia.

wakati mwingine mwanaume akikuomba sio kwamba ana shida anapima moyo wako wa utoaji na ubinafsi wa mkewe. hivi ww hujawahi kujiuliza kwann wakti mwingi wanaume hupenda kutoa fedha kuwapatia ndugu zao mbele za wake zao. hapa anacheki reaction yako pale anapompa ndugu yako na pale anapompa ndugu yake then ana make conclusion

usiwadanganye wenzio, ndoa ni nchi, wahusika wenyewe wanajipangia sheria za jinsi ya kuendesha nchi yao
 
and you have to make sure that unaning'olea kikojoleo chako niwe natembea nacho full time,,, AU woote twende kwa pamoja nkakufunge "ILE DAWA YA KUNASIA/KUGANDANA" punde tu ukitoa mbunye kwa wajuba wengine...
 
Back
Top Bottom