Wanawake eleweni hili; Kutongoza na kutosikilizwa kunatuumiza sana

Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
26,381
Likes
155,840
Points
280
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
26,381 155,840 280
Asalaaam,

Simaanishi kila unapotongoza lazima ukubaliwe, hapana! Ila nyie tunaowatongoza hata kama mnatuchukulia vikatuni, viboya na viwehu mjitahidi japo kuthamini muda wetu wa kukaa na kuwafikiria.

Unajua kutongozwa ni baraka? Hadi mtu kakaa chini kakufikiria weee mwisho kaona niende ujue yamemfika shingoni.

Niwashauri muwe mnaenda mbali ukimkataa mtu mwambie sababu ya kumkataa na mshauri cha kufanya. Sio unamkaushia asijue shida nini.

Kama tulishatongozana PM ukanikataa hapa ubaki kimya.
Arifu pole sana
 
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
26,381
Likes
155,840
Points
280
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
26,381 155,840 280
Uko obsessed na wanawake lol

nikuambie tu,the moment umekutana na mwanamke,kabla hujamtongoza anajua kama amekupenda au la!..kutamka maneno/kutongoza ni final,,,lla decision akusikilize au akupotezee ni jambo linatokea naturally before kutongoza....
Aiseee kumbe ni nature daah
 
Mgugu

Mgugu

Senior Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
190
Likes
187
Points
60
Mgugu

Mgugu

Senior Member
Joined Jul 1, 2015
190 187 60
Wewe umeacha kutongoza??!
Hapana bado sijaacha nilikua naogopa kukutongoza kwa kudhani huenda sasa hivi umeshazeeka na kujiona ni bibi kwa hio mambo ya kutongozwa umewaachia wajukuu zako.
Basi Kasie naomba nkutongoze unipe k'matata.
 
J

Jackline Bahath

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Messages
489
Likes
386
Points
80
J

Jackline Bahath

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2016
489 386 80

Ukiwa ni mpenda maendeleo lzm uwe unakwenda na muda.
Unafikiri tukizubaa zubaa tz ya viwanda itapatikana Vipi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ spare my ribs plz.Wapenda maendeleo lengo letu mpk 2020 tufikie uchumi wa kati
 
J

Jackline Bahath

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Messages
489
Likes
386
Points
80
J

Jackline Bahath

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2016
489 386 80
Jackie umeamka poa?
Maana jana ulilala hoi taabani.
Karibu tulisongeshe gurudumu la maendeleo.
Mkuu umeshaamka tyr,Au ulibaki jf juilinda forum yetu isiibiwe!?
 
N

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
4,564
Likes
5,137
Points
280
N

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
4,564 5,137 280
Asalaaam,

Simaanishi kila unapotongoza lazima ukubaliwe, hapana! Ila nyie tunaowatongoza hata kama mnatuchukulia vikatuni, viboya na viwehu mjitahidi japo kuthamini muda wetu wa kukaa na kuwafikiria.

Unajua kutongozwa ni baraka? Hadi mtu kakaa chini kakufikiria weee mwisho kaona niende ujue yamemfika shingoni.

Niwashauri muwe mnaenda mbali ukimkataa mtu mwambie sababu ya kumkataa na mshauri cha kufanya. Sio unamkaushia asijue shida nini.

Kama tulishatongozana PM ukanikataa hapa ubaki kimya.
Pole mwanangu Daby dunia imebadilika. Kasikilize ule wimbe wa Diamond na wenzake wamevaa mawigi wanavyosema. Zilipendwa. Eti nakuona kwenye glas nikinywa maji? Wenzio wa sasa sijui wanataka nini sababu nimejaliwa midume tu ka dada kamoja nako kama hao unaowataja.
Tafuta mdada anayekuzidi kidogo akufundishe mbinu. hahhahhahha.
 
Mgugu

Mgugu

Senior Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
190
Likes
187
Points
60
Mgugu

Mgugu

Senior Member
Joined Jul 1, 2015
190 187 60
Namshukuru Mungu kwa siku nyngn ,niko poa kbs.
Nina amini na ww mpenda maendeleo mwenzangu uko salama
Mimii siko poa kabisa wng
Jana usiku kucha sijapata usinginzi kwa sababu ya kuwaza na kutafakari kwa namna gani mimi na Jackie wng tunaweza kulisongesha mbele hili gurudumu la maendeleo.
 
J

Jackline Bahath

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Messages
489
Likes
386
Points
80
J

Jackline Bahath

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2016
489 386 80
Mimii siko poa kabisa wng
Jana usiku kucha sijapata usinginzi kwa sababu ya kuwaza na kutafakari kwa namna gani mimi na Jackie wng tunaweza kulisongesha mbele hili gurudumu la maendeleo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ baada ya kuwaza ukapata jibu gn
 
Forum statistics

Threads 1,238,878
Members 476,223
Posts 29,335,219