Wanawake eleweni hili; Kutongoza na kutosikilizwa kunatuumiza sana

Hahahaaaa!!
Alafu nimekununia.

πŸ˜‚πŸ˜‚eti nimekuwaza jus 2min ago..nilkua nimelala nimejingelesha hv espy ile hela ndo anakula aloneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚fees ya uagent hanipi😏😏!au shem hjapona
 
Kuna limoko nimetoka kulitukana eti linanichunia kama namwomba uzima
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€•πŸ€•πŸ€•πŸ€•πŸ€•πŸ€•πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm pia kuna fala namchunia anaboa sana.. ukomeeeπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Hahahaaa!! Shem wako alinishushua juzi sina hamu, slikoment then nikaku cc acha anishushue!! Eti "wanawake wa siku hizi mambo yetu hadi mashosti wajue".
Leo tena nimecoment "ulichopewa bure kumnyima mwenzio dhambi" akanijibu eti wanawake wengine hata ukiwapa namba wanakupotezea hawakutafuti.

Sasa mshenga unavyoona hapo kuna kupewa pesa kweli
eti nimekuwaza jus 2min ago..nilkua nimelala nimejingelesha hv espy ile hela ndo anakula alonefees ya uagent hanipi!au shem hjapona
 
Hahahaaa!! Shem wako alinishushua juzi sina hamu, slikoment then nikaku cc acha anishushue!! Eti "wanawake wa siku hizi mambo yetu hadi mashosti wajue".
Leo tena nimecoment "ulichopewa bure kumnyima mwenzio dhambi" akanijibu eti wanawake wengine hata ukiwapa namba wanakupotezea hawakutafuti.

Sasa mshenga unavyoona hapo kuna kupewa pesa kweli


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ ushabuma hyo shoga!kaka inabidi awekwe kati atulizwe sema na ww mapepe sana
..unanikera!unaharibu haiba zetu wanawake..mtaftie walau siku 1 muende wote beachπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›..usimpe dudu.. ww kammasaji tu mbeleleze mtoe kwa ex wake kimawazo.dadek!shauriro.... mkumbatie tu ww yaan ila usipime oilπŸ˜‚... jichetue bibi wee khaa😏😏
 
Sasa mateso yote hayo mshenga ili nivumbue mbadala wa tanzanite au!!!
ushabuma hyo shoga!kaka inabidi awekwe kati atulizwe sema na ww mapepe sana
..unanikera!unaharibu haiba zetu wanawake..mtaftie walau siku 1 muende wote beach..usimpe dudu.. ww kammasaji tu mbeleleze mtoe kwa ex wake kimawazo.dadek!shauriro.... mkumbatie tu ww yaan ila usipime oil... jichetue bibi wee khaa
 
Ata wewe mmoja wao kwenda uko
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› .. mm ningekuwa ww ningepotea mazima..mnaboa kila mara txt mara masimu simu yasiokuwa na mpangilio yaan ww utapiga naiangalia tu dadek zako ww😏!bas walau ijumaa km.hii mpigie simu jifanye unataka kumpa out..au jifanye kumuuliza unataka kunywa nn leo..ht akikuambia.pepsi ya moto we tuma ht 10 bas!😏😏..ss weee kuuutwa kupiga piga simu ova nn😀😀😀!gerahia
 
.. mm ningekuwa ww ningepotea mazima..mnaboa kila mara txt mara masimu simu yasiokuwa na mpangilio yaan ww utapiga naiangalia tu dadek zako ww!bas walau ijumaa km.hii mpigie simu jifanye unataka kumpa out..au jifanye kumuuliza unataka kunywa nn leo..ht akikuambia.pepsi ya moto we tuma ht 10 bas!..ss weee kuuutwa kupiga piga simu ova nn!gerahia
!ndo.maana mabinti siku hiz mnashindwa kuishi na ndoa zenu..ujuaji mnooo...
Mshenga ushanisaidia kujibu.
 
Back
Top Bottom