Wanawake eleweni hili; Kutongoza na kutosikilizwa kunatuumiza sana

Aa! Sijakataa ingawa sio sanaa.haha
Hahahahaaaaa basi usiwe unapenda kubishana na mchungani akikueleza ukweli aliionyeshwa na bwana, la sivyo unaweza kusababisha kukaukiwa kwa chemchem za baraka ambazo MUNGU amekujaalia.
 
Daby na mimi nitongoze basi, mbona mna upendeleo!! Au unafikiri mimi sitaki baraka!!!
 
Pole mwanangu Daby dunia imebadilika. Kasikilize ule wimbe wa Diamond na wenzake wamevaa mawigi wanavyosema. Zilipendwa. Eti nakuona kwenye glas nikinywa maji? Wenzio wa sasa sijui wanataka nini sababu nimejaliwa midume tu ka dada kamoja nako kama hao unaowataja.
Tafuta mdada anayekuzidi kidogo akufundishe mbinu. hahhahhahha.
Haha asante kwa ushauri mama... Ngoja nianze kuufanyia kazi nisichelewe chelewe.
 
Niko huko
Kuna jamaa mmoja nilikutana nae kwenye Kidia ya Arusha-Dar,
Nilimzimikia Ila nikakausha,

Mwezi uliopita nimegundua ni jirani yangu, juzi nimekutana nae kibanda cha chips,
Ameniangalia nikaloose control ikabidi nibadili gia angani nikaondoka

Yaani ana macho fulani hivi akikuangalia unalowa, sijui namkwepaje manake nimeokoka Ila shetani ananimendea kwa nguvu
Hayo macho yapoje Mkuu!!! macho ya Nyegezi mwanaume
 
Nimekutafuta weee hata sikupati.
Ukibaki nazo utaulizwa, hivyo nitafute tu unipe.
Nimekwmbia untafute unaleta mapozi,,, bora nibak na baraka zangu asiee kuliko kuja kuzileta kwako
 
Shetani hana adabu kabisa.
Niko huko
Kuna jamaa mmoja nilikutana nae kwenye Kidia ya Arusha-Dar,
Nilimzimikia Ila nikakausha,

Mwezi uliopita nimegundua ni jirani yangu, juzi nimekutana nae kibanda cha chips,
Ameniangalia nikaloose control ikabidi nibadili gia angani nikaondoka

Yaani ana macho fulani hivi akikuangalia unalowa, sijui namkwepaje manake nimeokoka Ila shetani ananimendea kwa nguvu
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom