Wanawake eleweni hili; Kutongoza na kutosikilizwa kunatuumiza sana

mie mwenyew nimefikiria huko..imagine unakua na jiran yako mwanaume mwenye vigezo vya ISO..macho ya nyege nyegemie nitahama mtaa..

Niko huko
Kuna jamaa mmoja nilikutana nae kwenye Kidia ya Arusha-Dar,
Nilimzimikia Ila nikakausha,

Mwezi uliopita nimegundua ni jirani yangu, juzi nimekutana nae kibanda cha chips,
Ameniangalia nikaloose control ikabidi nibadili gia angani nikaondoka

Yaani ana macho fulani hivi akikuangalia unalowa, sijui namkwepaje manake nimeokoka Ila shetani ananimendea kwa nguvu
 
Hongera
Una macho ya nyegezi?
Wala sio ya nyegezi mkuu,wala sio supahendsam,ila nikiongea ukanasikiliza kuna mawili eidha utashawishika ama utanionea huruma.Yani ukitaka kwenda kuomba mkopo mahali ukienda na mimi alaf nikakusaidia kuongea hukosi mkopo.

Ningekuwa mwanasiasa saizi ningekuwa mbunge ama katibu mwenezi.
 
Nguvu ya ushawishi
Hongera sana
 
Niko huko
Kuna jamaa mmoja nilikutana nae kwenye Kidia ya Arusha-Dar,
Nilimzimikia Ila nikakausha,

Mwezi uliopita nimegundua ni jirani yangu, juzi nimekutana nae kibanda cha chips,
Ameniangalia nikaloose control ikabidi nibadili gia angani nikaondoka

Yaani ana macho fulani hivi akikuangalia unalowa, sijui namkwepaje manake nimeokoka Ila shetani ananimendea kwa nguvu

😂😂😂😂😂 umeacha🍻🍻??hahaha sasa ww hesabu maumivu...!ishakula kwako hyo!mie kuna mkaka kilasiku napishana naye road alafu twaishi sehem 1 sijajua yy anaishi wapi excatly.. jaman kaka mtamuu.. had namba ya gari nimejikuta ipo kichwan😂😂...ila anaonekana ananata..akipita kwangu lazima apunguze mwendo uwiiii ananiangaliaga bas najifanyaga km sielewi kitu..pumbafu kbs ana jicho zuriiii..akikukhug huyo basi tena!😂😂sema mie mhenga!
 
We hujui tu inachosha kiasi gani mtu awe anakutongoza halafu huna hata hisia nae. Kwanza hajui hata mbinu za kumfanya mwanamke amsikilize. Mimi naweza kuwa sikutaki ila nitakusikiliza tu ngonjera zako halafu nakwambia kuna mtu nampenda hata kama niko single.
Na nyie mjifunze kusikilizwa. Usiposikilizwa ujue una mapungufu pia.
 
umeacha??hahaha sasa ww hesabu maumivu...!ishakula kwako hyo!mie kuna mkaka kilasiku napishana naye road alafu twaishi sehem 1 sijajua yy anaishi wapi excatly.. jaman kaka mtamuu.. had namba ya gari nimejikuta ipo kichwan...ila anaonekana ananata..akipita kwangu lazima apunguze mwendo uwiiii ananiangaliaga bas najifanyaga km sielewi kitu..pumbafu kbs ana jicho zuriiii..akikukhug huyo basi tena!sema mie mhenga!
Hapa aibu nmeona mimi
Kumbe mane na wewe huaga unanikata jicho la wizi,
Hlf sio kweli kua nnanata ni basi kwa vile hatujazoena ndio maana unahisi hivyo,
Basi kuanzia kesho nikipita hapo kwenu nitakua nnakupa hi.
 
Aisee ni changamoto sana
 
Hapa aibu nmeona mimi
Kumbe mane na wewe huaga unanikata jicho la wizi,
Hlf sio kweli kua nnanata ni basi kwa vile hatujazoena ndio maana unahisi hivyo,
Basi kuanzia kesho nikipita hapo kwenu nitakua nnakupa hi.

😂😂unadhan naweza kukutongoza mie!never!haiwezekani..bas tu una jicho na umbo zuri.. ila una nataa😂
 
unadhan naweza kukutongoza mie!never!haiwezekani..bas tu una jicho na umbo zuri.. ila una nataa
Hahahaahaa sio kweli banaaa mbona mi wa kawaida sana
Ila kwa jicho sio wewe wa kwanza kunisifia lkn mbona nikijitazama kwenye kioo mi naona ni la kawaida tu.
Ila nyie wanawake mnamambo sana kwa hio hili jicho peke yake ndio linalokufanya mpk chini kulowane?
Lkn hata wewe mashaallah yaliyomo yamo mi mwenyewe hua nnapenda kila nikipita hapo niwe nakuonaona mrembo.
Safari hii nkikuona hapo lzm nikuite ili tuangalie namna gani tunaweza kumuunga mkono mwenyekiti si unajua tena yeye mwenyewe alishasema kua maendeleo hayana chama.
 
Mimi nawashauri mtu ukimtongoza akakataa usitake kujua sababu aisee hakuna jambo linaniudhi kama mtu kunilazimisha nimwambie sababu za kumkataa sasa nikikuambia ndio itakuwa imebadilisha nini?
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom