Wanawake eleweni hili; Kutongoza na kutosikilizwa kunatuumiza sana

Kasie

Kasie

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
12,334
Likes
11,926
Points
280
Kasie

Kasie

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2013
12,334 11,926 280
Baba yeyooo

Daby.....

Asheeenaaaleeek

Takwiinyaaa

Habariiinyooo

Laiguanan. ..... hii nakubali nimefeli. .....

Mie napenda sana kutongozwa ila mitongozo ikiwa mingi huwa nakaa kimya she tano kigumu apite ubaki mtongozo mmoja kisha naendelea.
 
J

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Messages
6,443
Likes
2,237
Points
280
J

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2013
6,443 2,237 280
Asalaaam,

Simaanishi kila unapotongoza lazima ukubaliwe, hapana! Ila nyie tunaowatongoza hata kama mnatuchukulia vikatuni, viboya na viwehu mjitahidi japo kuthamini muda wetu wa kukaa na kuwafikiria.

Unajua kutongozwa ni baraka? Hadi mtu kakaa chini kakufikiria weee mwisho kaona niende ujue yamemfika shingoni.

Niwashauri muwe mnaenda mbali ukimkataa mtu mwambie sababu ya kumkataa na mshauri cha kufanya. Sio unamkaushia asijue shida nini.

Kama tulishatongozana PM ukanikataa hapa ubaki kimya.

Wanaume wengi wanaokataliwa ni maboya….ebu jiulize unaenda tongoza mwanamke anayejitambua kwa mapozi ya kibongo fleva huku umepaka lip stick, umevaa hereni, umesuka nywele, na baadhi ya kucha umepaka rangi na kuvaa kata kundu (mlegezo), hivi hapa mtu ukikataliwa ni kosa kweli? Mwanamke anatafuta rijali si hanithi (hanisi), au wewe mwanamme utajisikiaje ukiwa unafanya mapenzi na mwanamke anayefanana na mwanamme mwenzako, utapata stimu kweli?
 
Mgugu

Mgugu

Senior Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
194
Likes
188
Points
60
Mgugu

Mgugu

Senior Member
Joined Jul 1, 2015
194 188 60
Baba yeyooo

Daby.....

Asheeenaaaleeek

Takwiinyaaa

Habariiinyooo

Laiguanan. ..... hii nakubali nimefeli. .....

Mie napenda sana kutongozwa ila mitongozo ikiwa mingi huwa nakaa kimya she tano kigumu apite ubaki mtongozo mmoja kisha naendelea.
K matata pamoja na uzee wote ulionao bado tu unapenda kutongozwa?
 
ManDizzo

ManDizzo

Member
Joined
Jun 25, 2014
Messages
83
Likes
51
Points
25
ManDizzo

ManDizzo

Member
Joined Jun 25, 2014
83 51 25
Kumbe had skuhz bado kuna watu wanatongozaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
J

Jackline Bahath

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Messages
489
Likes
386
Points
80
J

Jackline Bahath

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2016
489 386 80
Si mimi na wewe tunaziungnisha juhudi zetu mpk zigusane ili kuonyesha msisitizo kua wenyekiti alichokisema ni ukweli mtupu usio na shaka hata kidogo.
Sawa boss
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
4,485
Likes
6,708
Points
280
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
4,485 6,708 280
Hahahaahaa sio kweli banaaa mbona mi wa kawaida sana
Ila kwa jicho sio wewe wa kwanza kunisifia lkn mbona nikijitazama kwenye kioo mi naona ni la kawaida tu.
Ila nyie wanawake mnamambo sana kwa hio hili jicho peke yake ndio linalokufanya mpk chini kulowane?
Lkn hata wewe mashaallah yaliyomo yamo mi mwenyewe hua nnapenda kila nikipita hapo niwe nakuonaona mrembo.
Safari hii nkikuona hapo lzm nikuite ili tuangalie namna gani tunaweza kumuunga mkono mwenyekiti si unajua tena yeye mwenyewe alishasema kua maendeleo hayana chama.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nimekosa usingiz nakutana na comment yakituko hahaha mm hyo sentensi ya mwisho ht km naumwa nikiiona lazima nicheke kwa hasira aisee hahhaha!karibu kwenye kuunga juhudi mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘Š
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
4,485
Likes
6,708
Points
280
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
4,485 6,708 280

Ukiwa ni mpenda maendeleo lzm uwe unakwenda na muda.
Unafikiri tukizubaa zubaa tz ya viwanda itapatikana Vipi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚bwana ww mbn hivi lakiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚naanguka kicneko mie hapa khaa
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
4,485
Likes
6,708
Points
280
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
4,485 6,708 280
Wanaume wengi wanaokataliwa ni maboya….ebu jiulize unaenda tongoza mwanamke anayejitambua kwa mapozi ya kibongo fleva huku umepaka lip stick, umevaa hereni, umesuka nywele, na baadhi ya kucha umepaka rangi na kuvaa kata kundu (mlegezo), hivi hapa mtu ukikataliwa ni kosa kweli? Mwanamke anatafuta rijali si hanithi (hanisi), au wewe mwanamme utajisikiaje ukiwa unafanya mapenzi na mwanamke anayefanana na mwanamme mwenzako, utapata stimu kweli?
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
4,485
Likes
6,708
Points
280
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
4,485 6,708 280
Wala sio ya nyegezi mkuu,wala sio supahendsam,ila nikiongea ukanasikiliza kuna mawili eidha utashawishika ama utanionea huruma.Yani ukitaka kwenda kuomba mkopo mahali ukienda na mimi alaf nikakusaidia kuongea hukosi mkopo.

Ningekuwa mwanasiasa saizi ningekuwa mbunge ama katibu mwenezi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘Škwa lugha nyingine ww mwongo mwongo!saafi sana !
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
4,485
Likes
6,708
Points
280
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
4,485 6,708 280
Wanaume wengi wanaokataliwa ni maboya….ebu jiulize unaenda tongoza mwanamke anayejitambua kwa mapozi ya kibongo fleva huku umepaka lip stick, umevaa hereni, umesuka nywele, na baadhi ya kucha umepaka rangi na kuvaa kata kundu (mlegezo), hivi hapa mtu ukikataliwa ni kosa kweli? Mwanamke anatafuta rijali si hanithi (hanisi), au wewe mwanamme utajisikiaje ukiwa unafanya mapenzi na mwanamke anayefanana na mwanamme mwenzako, utapata stimu kweli?

au umekaa na men muda woote analamba lips tu..cha!
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
5,998
Likes
9,574
Points
280
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
5,998 9,574 280
Uko obsessed na wanawake lol

nikuambie tu,the moment umekutana na mwanamke,kabla hujamtongoza anajua kama amekupenda au la!..kutamka maneno/kutongoza ni final,,,lla decision akusikilize au akupotezee ni jambo linatokea naturally before kutongoza....
 
Forum statistics

Threads 1,238,934
Members 476,277
Posts 29,337,301