Wanawake eleweni hili; Kutongoza na kutosikilizwa kunatuumiza sana

Asalaaam,

Simaanishi kila unapotongoza lazima ukubaliwe, hapana! Ila nyie tunaowatongoza hata kama mnatuchukulia vikatuni, viboya na viwehu mjitahidi japo kuthamini muda wetu wa kukaa na kuwafikiria.

Unajua kutongozwa ni baraka? Hadi mtu kakaa chini kakufikiria weee mwisho kaona niende ujue yamemfika shingoni.

Niwashauri muwe mnaenda mbali ukimkataa mtu mwambie sababu ya kumkataa na mshauri cha kufanya. Sio unamkaushia asijue shida nini.

Kama tulishatongozana PM ukanikataa hapa ubaki kimya.
Arifu pole sana
 
Wewe umeacha kutongoza??!
Hapana bado sijaacha nilikua naogopa kukutongoza kwa kudhani huenda sasa hivi umeshazeeka na kujiona ni bibi kwa hio mambo ya kutongozwa umewaachia wajukuu zako.
Basi Kasie naomba nkutongoze unipe k'matata.
 
Asalaaam,

Simaanishi kila unapotongoza lazima ukubaliwe, hapana! Ila nyie tunaowatongoza hata kama mnatuchukulia vikatuni, viboya na viwehu mjitahidi japo kuthamini muda wetu wa kukaa na kuwafikiria.

Unajua kutongozwa ni baraka? Hadi mtu kakaa chini kakufikiria weee mwisho kaona niende ujue yamemfika shingoni.

Niwashauri muwe mnaenda mbali ukimkataa mtu mwambie sababu ya kumkataa na mshauri cha kufanya. Sio unamkaushia asijue shida nini.

Kama tulishatongozana PM ukanikataa hapa ubaki kimya.
Pole mwanangu Daby dunia imebadilika. Kasikilize ule wimbe wa Diamond na wenzake wamevaa mawigi wanavyosema. Zilipendwa. Eti nakuona kwenye glas nikinywa maji? Wenzio wa sasa sijui wanataka nini sababu nimejaliwa midume tu ka dada kamoja nako kama hao unaowataja.
Tafuta mdada anayekuzidi kidogo akufundishe mbinu. hahhahhahha.
 
Namshukuru Mungu kwa siku nyngn ,niko poa kbs.
Nina amini na ww mpenda maendeleo mwenzangu uko salama
Mimii siko poa kabisa wng
Jana usiku kucha sijapata usinginzi kwa sababu ya kuwaza na kutafakari kwa namna gani mimi na Jackie wng tunaweza kulisongesha mbele hili gurudumu la maendeleo.
 
Mimii siko poa kabisa wng
Jana usiku kucha sijapata usinginzi kwa sababu ya kuwaza na kutafakari kwa namna gani mimi na Jackie wng tunaweza kulisongesha mbele hili gurudumu la maendeleo.
😂😂😂😂😂😂😂 baada ya kuwaza ukapata jibu gn
 
Back
Top Bottom