Wanawake bhana! daah!

Wanawake bhana! daah!

✍ MENDE anamuogopa PANYA, PANYA anamuogopa sana PAKA, na PAKA anamwogopa MBWA...wakati huo huo MBWA anamwogopa MWANAUME na kumbe MWANAUME anamwogopa MWANAMKE...sasa hutaamini nikikwambia MWANAMKE anaogopa #MENDE#*


WANAWAKE BANAA SOMETIME WANACHOSHA
only idiots fear women , not men of wisdom
 
Yani hiyo emoj yako inafanya kila unachoandika nisikichukulie serious.
Kwani ushawahi kunichukulia serious? Si ndio maana uliibadili safari ya Dubai kuwa leba🙆🙆🙆
 
Back
Top Bottom