Wanawake bhana! daah!

Wanawake bhana! daah!

Joined
Feb 16, 2019
Posts
8
Reaction score
12
✍ MENDE anamuogopa PANYA, PANYA anamuogopa sana PAKA, na PAKA anamwogopa MBWA...wakati huo huo MBWA anamwogopa MWANAUME na kumbe MWANAUME anamwogopa MWANAMKE...sasa hutaamini nikikwambia MWANAMKE anaogopa #MENDE#*

WANAWAKE BANAA SOMETIME WANACHOSHA
 
MENDE anamuogopa PANYA, PANYA anamuogopa sana PAKA, na PAKA anamwogopa MBWA...wakati huo huo MBWA anamwogopa MWANAUME na kumbe MWANAUME anamwogopa MWANAMKE...sasa hutaamini nikikwambia MWANAMKE anaogopa #MENDE#*

WANAWAKE BANAA SOMETIME WANACHOSHA
And the cycle continues
 
Nimecheka sana!

Lkn labda mtoa mada ujifunze kutofautisha aina za uoga ktk mifano yako.......huu unaouita uoga Wa wanaume kwa wanawake sana sana ni kale ka wasiwasi ka kukosa papuchi tu basi tofauti na uoga hizo zingine ambazo waathirika huwa na hofu ya kudhurika kimwili
 
Umefafanua vizuri

Takataka hii...jamani kuanzisha thread hakuna zawadi so sio lazima kila mtu aanzishe thread hata kama hana cha maana cha kupost.
 
✍ MENDE anamuogopa PANYA, PANYA anamuogopa sana PAKA, na PAKA anamwogopa MBWA...wakati huo huo MBWA anamwogopa MWANAUME na kumbe MWANAUME anamwogopa MWANAMKE...sasa hutaamini nikikwambia MWANAMKE anaogopa #MENDE#*

WANAWAKE BANAA SOMETIME WANACHOSHA
😂 😂 😂 😂 😂
 
labda uwoga wa kukosa kula mzigo tofauti na hapo simuogopi kiumbe chochote cha kike kasoro bi mkubwa..aka. mama alienizaa namuogopa halafu na namuheshimu
 
Back
Top Bottom