Wanawake badilikeni, mtaisha

Kwa wanawake, mwanaume akihama, siku atakayorudi moto ule ule

Bado tunajadiri outcome badala ya source
Shida ni kwamba wanawake kwa asili wana midomo (waongeaji, wapayukaji, waropokaji) japo wanatofautiana viwango. Kwahiyo uwezekano wa kumziba kabisa mwanamke asiongee ni 0%, ataongea tu, atakuudhi.

Kumpiga siamini kama ni suluhisho. Wakati fulani unaweza kumuonueshea kama mkwala mzito mkamate vilivyo mbananishe kisawasawa kwa muda kadhaa hadi aogope kwa kupata hisia ya nguvu uliyonayo.

Lakini wanaume huwa muda mwingine tunakosea sana kwa wake zetu hasa katika kipengele cha kumpelekea moto walau kwa mwezi mara moja unampa mikito ambayo kila akikaa anajikuta hana sauti mbele yako kama mumewe, na hii ni moja ya njia nzuri sana ya kumfanya mwanamke akuheshimu daima
 
Unapigwa hadi unakufa umeshindwa hata kuchukua chupa ya karibu umpasue nalo!
Espy kuna vipigo vingine huwezi hata kurusha mkono wako japo ujitetee. Juma lililopita kuna kijana mmoja jirani yetu hapa alitandika mkewe usiku wa manane nusu ya kuua, baada ya kufanikiwa kuuvunja mlango tulifanikiwa kumuokoa mwanamke, kijana alikuwa anavuja damu katika paji lake la uso alipigwa chupa ya bia na mkewe ndio ilipelekea kujaa sumu mwilini na kuamua kumpa kipigo cha kufa mtu, unapigwa ukiwa uchi wa mnyama huna hata chupppi mwilini hadi unenda kulazwa
 
Kabisa haya anaenda kaburini wewe unaenda jela tatizo watu hawaamini katika kupeana space kosa huanzia hapo, mkishindwana achaneni kwa amani kabisa kikubwa kucontrol hasira basi
Na hilo ndilo tatizo kwa wengi.mwanaume wa kunipiga hapana kwakweli
 
Na kwa jinsi walivyo, ukirudi utakutana na maneno ya shombo kisa umelewa..!!! Maneno ya shombo huku umelewa ni rahisi sana kumfyatua mtu mtama
Kwanza ukirudi nyumbani chakula chake huli ,,moja kwa moja chumbani kuchukua shuka lako na mto wa kulala huyo unahama chumba.kesho asubuhi ukiamka salamu kama kawaida pesa ya matumizi kama kawaida unaondoka zako kazini.akipiga simu ukiwa kazini hakuna kupokea...ukitoka kazini pita sehemu kapate dinner safi(usilewe siku hiyo) ukirudi nyumbani salamu kama kawaida hakuna kula chakula chake(inauma hii)pitiliza ndani kachukue vifaa vyako vya kulalia,Hama chumba fulustop.fanya hivi ndani ya wiki moja tu niletee majibu tafadhali
 
Ungemvunja japo meno kidogo mkuu
 
Jesus!! Sasa maisha gani hayo[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Hapo kwenye moto hapo πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Mwanaume mchepukaji pia sio rahisi kumheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…