Wanawake badilikeni mnakera

Wanawake badilikeni mnakera

waache kujikoboaaa
sipendiiiiiii jamanii mtu katooaa ngozi yupo kama kitimoto
UKIMUONA UNAPATA HAMU YA NYAMA YA KITOMOTO
 
Wakitaka kujisafisha wanazitoa then wakimaliza wanazirudisha..... usijal mkuu hazina madhara


Kwa hiyo wakienda chooni wanavua then wakirudi wanazivaa tena? Najaribu ku imagine kuishi na mke wa hivyo, sipati jibu aisee!!
 
Kwa hiyo wakienda chooni wanavua then wakirudi wanazivaa tena? Najaribu ku imagine kuishi na mke wa hivyo, sipati jibu aisee!!

Ndio mkuu huwa wanazivua usijali kabisa
 
Back
Top Bottom