Wanawake acheni ushirikina!

---

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2026
Posts
524
Reaction score
1,480
Salamu ndugu wanajukwaa, najua tuna mambo mengi muhimu ya kufanya, ila kuna jambo nimeona kwenye hii video hapa chini limeniacha bumbuwazi kuhusu wanawake

Wanawake, hata kama ni maelekezo ya waganga, kwani hamwezi kutumia akili au basi kuwa na aibu kidogo!, mnapata wapi ujasiri wa kufanya ushirikina kama huu mchana kweupe?

Ni hali gani inaweza kumfanya mtu kufikia hali hii?, ndugu wadau nashauri kuanzishwe kampeni maalumu kuhimiza wanawake kufanya check-up ya afya ya akili zao , ili kunusuru jamii yetu, binti kama huyu kuwa mshirikina ni hasara kwa taifa.

Mamlaka, taasisi na wadau wote wanaohusika na masuala ya wanawake naomba mkalifanyie kazi jambo hili
Your browser is not able to display this video.

Kielelezo 01: mwanamke akifanya ushirikina hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…