Sio kila bidhaa ipo supermarket japo kuwa hata papuchi supermarket zipo. Kwani hao wahudumu wa supermarket si wanauza kwa mitindo hiyo hiyo tofauti?Tafuta kama kua supermakert utapata hiyo bidhaa, unaweza kuwa na pesa yako na ukaikosa pia.
Kwa attitude hiyo hata uwe na pesa utahangaika sana.Sio kila bidhaa ipo supermarket japo kuwa hata papuchi supermarket zipo. Kwani hao wahudumu wa supermarket si wanauza kwa mitindo hiyo hiyo tofauti?
Hate me at your own risk!
Uzuri siuzi halafi siku ukikua utajua usichukulie maneno yayoongelewa na wasichana ni wanawake wanafikiria pia ukikua utaamka usingiziniKuwa na mama au dada hakubadilishi ukweli dada na nyie mnaposema wanaume wote matapeli haimaanishi hamna baba na kaka zetu. Tulia sindani ikuingie muuzaji wewe
Hate me at your own risk!
Ndiyo tunauza kweli basi msilalame kila mtu na mbinu zake za ufanyaji biashara, wengine wanafungua maduka kabisa na wengine wanauzia majumbani.Naelewa sana kwa kuwa honey (asali) inauzwa. Uzeni tu mueleweke acheni unafiki
Hate me at your own risk!
Nahangaishwa na nini wakati pesa ipo na bidhaa mnazo? Wanahangaika ambao hawajajua. Wale wanaojidai wanapenda kwa moyo wakati nyie wenyewe mnasema kabisa pesa ndo kila kitu hamuangalii sura. Sasa mimi mimi mwenye hela zangu si nawaokota tu kwa mafungu?Kwa attitude hiyo hata uwe na pesa utahangaika sana.
Nenda urudi hapa ukishabalehe.Nahangaishwa na nini wakati pesa ipo na bidhaa mnazo? Wanahangaika ambao hawajajua. Wale wanaojidai wanapenda kwa moyo wakati nyie wenyewe mnasema kabisa pesa ndo kila kitu hamuangalii sura. Sasa mimi mimi mwenye hela zangu si nawaokota tu kwa mafungu?
Uuze mara ngapi dada? Sema hauuzi kwa njia iliyozoeleka. Labda umdanganye maiti. Nyote wauzaji tu sema mnatumia maneno tofauti katika uuzaji wenu.Uzuri siuzi halafi siku ukikua utajua usichukulie maneno yayoongelewa na wasichana ni wanawake wanafikiria pia ukikua utaamka usingizini
Sababu mtu anaachwa na anapata mtu mwingine na kupenda kuliko alivyopenda mwanzo
Pole yako
Umejibu mfano wa majibu ya Salama Jabir wa kipindi cha Mikasi"haiuzwi wala haitolewi bure"
Nimekuelewa vuzuri. Na hiki ndo tuachokitaka dada. Unafiki haufai.Ndiyo tunauza kweli basi msilalame kila mtu na mbinu zake za ufanyaji biashara, wengine wanafungua maduka kabisa na wengine wanauzia majumbani.
Tuacheni jamani yaani ufujwee weee bure bure tu hapana aisee.
Haya mshindi weweUuze mara ngapi dada? Sema hauuzi kwa njia iliyozoeleka. Labda umdanganye maiti. Nyote wauzaji tu sema mnatumia maneno tofauti katika uuzaji wenu.
Bepari la kihaya.....!Kila mwanamke ukimfata ukimwambia nikupe pesa unipe 'kikojoleo' anakasirika na matusi juu, anakuambia "mimi siuzi"! Lakini ukimtongoza akikubali anaomba pesa.
Wadada acheni unafki!
Kote ni kuuza. Kuhonga ni neno mbadala. Ndo maana hata kuhonga maofisini kiuhalisia ni 'kununua haki'. Kiufupi wanawake wote wanajiuza ila wanatofautiana mbinu na uuzaji wao
Dada sio rahisi kiivyo kama unavyodhani,ukiwa na Pesa Papuchi ni Lazima upate labda kama interest na hayo makitu..!!!Tafuta kama kua supermakert utapata hiyo bidhaa, unaweza kuwa na pesa yako na ukaikosa pia.
Sisi hatukatai kugharamia. Nadhani sijaeleweka! Tunakataa unafiki! Sema tu unauza mzigo watu tupande bei. Kwa nini nikukwambia nipe 'mzigo' nikupe hela ukatae na kutokwa na povu na matusi juu eti 'siuzi' wakati sasa hivi unasema kila kizuri kinagharamiwa? Kugharamiwa in terms of money ni kununua! Elewekeni tu acheni kutuzungusha. Mtu unajipinda unatongoza na mashairi yote unayamaliza. Miezi hadi miaka haujakubaliwa hadi unatumia nguvu ya ziada alafu mwishi wa siku unaniuzia! Sasa si bora ungekuwa muwazi tu tukaokoa muda na resources?Unaweza kuchukulia unavyotaka wewe, wala hamna wa kubadili mawazo yako. Ila ukumbuke kila kizuri kinagharamiwa. Na sio kila king'aacho ni dhahabu.
Ndio maana nikasema siwezi badili mawazo yako. Kama unajua wapo wanaouza direct kwa nini upoteze muda kutongoza nenda kanunue hukoSisi hatukatai kugharamia. Nadhani sijaeleweka! Tunakataa unafiki! Sema tu unauza mzigo watu tupande bei. Kwa nini nikukwambia nipe 'mzigo' nikupe hela ukatae na kutokwa na povu na matusi juu eti 'siuzi' wakati sasa hivi unasema kila kizuri kinagharamiwa? Kugharamiwa in terms of money ni kununua! Elewekeni tu acheni kutuzungusha. Mtu unajipinda unatongoza na mashairi yote unayamaliza. Miezi hadi miaka haujakubaliwa hadi unatumia nguvu ya ziada alafu mwishi wa siku unaniuzia! Sasa si bora ungekuwa muwazi tu tukaokoa muda na resources?
Supermarket za bidhaa hii zipo na zinaitwa Madanguro.... unaingia unajichagulia tuTafuta kama kua supermakert utapata hiyo bidhaa, unaweza kuwa na pesa yako na ukaikosa pia.
Sema bei gani kwa kipimo kipi...Ndiyo tunauza kweli basi msilalame kila mtu na mbinu zake za ufanyaji biashara, wengine wanafungua maduka kabisa na wengine wanauzia majumbani.
Tuacheni jamani yaani ufujwee weee bure bure tu hapana aisee.
Supermarket zote zinalipa kodi, zinaajiri wafanyakazi wanaolipa kodi, kuna mfuko wa NSSF pia wa wafanyakazi sasa huko kwenye madanguro kodi yao inakwenda wapi?Supermarket za bidhaa hii zipo na zinaitwa Madanguro.... unaingia unajichagulia tu