Kila mwanamke ukimfata ukimwambia nikupe pesa unipe 'kikojoleo' anakasirika na matusi juu, anakuambia "mimi siuzi"! Lakini ukimtongoza akikubali anaomba pesa.
Kote ni kuuza. Kuhonga ni neno mbadala. Ndo maana hata kuhonga maofisini kiuhalisia ni 'kununua haki'. Kiufupi wanawake wote wanajiuza ila wanatofautiana mbinu na uuzaji wao

Hivi nyie wavulana wa jamii forum hamnaga wazazi mama au dada au shangazi
Mada nyingine sio lazima uanzishe ni kuzalilisha tu maana we pia umezaliwa na mwanamke na ukakuzwa naye
Mambo mengine mezea sababu mkapewa koromeo sio kila kitu unaandika

Kuwa na mama au dada hakubadilishi ukweli dada na nyie mnaposema wanaume wote matapeli haimaanishi hamna baba na kaka zetu. Tulia sindani ikuingie muuzaji wewe