Ndio ipo hivyoMchambuz wa mapenz
NakaziaKuna kosa kubwa umefanya mkuu nimeona hapo kwenye mazungumzo yenu reduce the length of your texts, and you’ll look much less desperate
yes wa kukupenda atakupenda na kukuheshimu hata kama haiwezekani kuwa pamoja, bado unampenda ndio maana ukamtafuta ila kwa hiyo short response hukupaswa kuendelea kumchatisha. Mpaka anakutusi mkuu?Halaf nishasema ni ex kwamawazo yako atanipenda
Mie niliwahi saidia mtu ila ndio hivyo akaona mwinginemwanamke kumsaidia mwanaume?? sijawahi ona....
pole sana.... unaonekana unapitia mapito magumu...Mie niliwahi saidia mtu ila ndio hivyo akaona mwingine
🙄 yakweli hayo?Mie niliwahi saidia mtu ila ndio hivyo akaona mwingine
Giving side ya nyoko😀😀hawajui ata kula na kipofuMnaunaume uko kwenye giving side, mwanamke receiving side..... tafta hela, MIZINGA HAIEPUKIKI...
hauwezi ukawa kwenye mahusiano serious na mwanamke usile mizinga....Giving side ya nyoko😀😀hawajui ata kula na kipofu
Kweli kabisa mkuu wanawake wanapenda kupewa hata Mimi Huwa najiskia raha kumpa mwanamke nikiwa nacho na kuona aibu anapotaka kunipa labda Hela.Mnaunaume uko kwenye giving side, mwanamke receiving side..... tafta hela, MIZINGA HAIEPUKIKI...
wewe ni mwanaume rijali. Jipongeze.....Kweli kabisa mkuu wanawake wanapenda kupewa hata Mimi Huwa najiskia raha kumpa mwanamke nikiwa nacho na kuona aibu anapotaka kunipa labda Hela.
mapro mmeucheza huo mchezo zamani sana.... 😂Alikuwa hakutaki bhana 😀😀
😀😀😀mapro mmeucheza huo mchezo zamani sana.... 😂
Yes,bro🙄 yakweli hayo?
Hata ras simba na formula zake hakuna mwanafunzi wake anaweza tema yai kama hili..😂🤣Si mchezo yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]