Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,717
- 62,670
unamtafuta wa nini na mliachana,Kwahyo ex atafutw
unamtafuta wa nini na mliachana,Kwahyo ex atafutw
sawasawa 🙌🏼🙌🏼Kporo hakitupwi
Saidia utasaidiwasasa ni ngumu kutambua muda wa ishu serious, kwasababu mizinga ni mingi tunaona kama tunachunwa.....
Kama nikila siku unamwita unamwambia nauwezo wa miezi miwili tu katika usaidizi unamnunulia chakula Cha jumla mwezi wakwanza na wapili basiNdo kila sku mtu akikutumia tu meseji bye iwe njaa inauma
Nipe directionMbna zipo nyng telegram
Kuna kosa kubwa umefanya mkuu nimeona hapo kwenye mazungumzo yenu reduce the length of your texts, and you’ll look much less desperateBwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu Facebook mtandao wake pendwa nikamkuta online tutakaanza kuchat.
Mwsho wa kuchat ukawa kama hvo Chin
mwanamke kumsaidia mwanaume?? sijawahi ona....Saidia utasaidiwa
tips and tricks.... 😂Kuna kosa kubwa umefanya mkuu nimeona hapo kwenye mazungumzo yenu reduce the length of your texts, and you’ll look much less desperate