Wanawake acheni tabia hii

Wanawake acheni tabia hii

Wanawake wanapenda cha usiku kabla ya kulala wanaume tunapenda asubuhi
 
Upo sahihi mkuu, wakwangu hana mambo aliyoyaandika mtoa post. Ni mwelewa sana kuhusu hili swala la kupiga game.
Kuna kipindi naweza nikawa sijisikii lakini yeye akataka naweza nikamridhisha halafu ndo tunalala au namwambia tu leo siko poa na anaelewa hata yeye asipojisikia ni hivyohivyo namwelewa.
Hongera sana mkuu.
 
Back
Top Bottom