Wanawake acheni roho za kubana

Wanawake acheni roho za kubana

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚akome bwan,,,sasa utaona uyo mkaka namie nampenda ila kusema ndo siwezi afu aje anambie anamtaka rafiki angu,,we kuweza ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ
Hapa ndio pakumtag Melo mana sio kwa mambo haya๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Wanawake punguzeni roho mbaya na kijicho husda, unakuta mkaka kamuelewa rafiki yako anaomba contanct zake unaanza uchawi wako. Mwenzio pisi kali mkaka anataka kujiweka.

Wewe sasa na bichwa lako kama treni la Mwakyembe unaanza โ€œOoh! yule humuwezi!โ€ Umeambiwa ananibeba mgongoni? Wewe mpe namba tutajuana huko huko km tutawezana.

Muda mwingine anafika mbali anaanza kutoa story ya familia ya rafiki yake kama anatoa documentary ya kaya maskini. Hahahaa!

โ€œNikwambie, kwanza yule kwao mama yake kazaa kila mtu na baba yake.โ€ Hata yule rafiki yangu pale alipo hamjui baba yake. Na yeye mwenyewe atamrithi mama yake mana ana mabwana wengi! Umeulizwa?
Sasa si ndio umpe namba nipate baba wa kunilea mxiewww!!

Acheni kubania wenzenu ridhiki VIBUNGO nyie.
SEMA mwanangu unazingua we badala ukaombe mwenyewe Sasa unadhani huyo rafiki yake anafurahia au
 
Wanawake punguzeni roho mbaya na kijicho husda, unakuta mkaka kamuelewa rafiki yako anaomba contanct zake unaanza uchawi wako. Mwenzio pisi kali mkaka anataka kujiweka.

Wewe sasa na bichwa lako kama treni la Mwakyembe unaanza โ€œOoh! yule humuwezi!โ€ Umeambiwa ananibeba mgongoni? Wewe mpe namba tutajuana huko huko km tutawezana.

Muda mwingine anafika mbali anaanza kutoa story ya familia ya rafiki yake kama anatoa documentary ya kaya maskini. Hahahaa!

โ€œNikwambie, kwanza yule kwao mama yake kazaa kila mtu na baba yake.โ€ Hata yule rafiki yangu pale alipo hamjui baba yake. Na yeye mwenyewe atamrithi mama yake mana ana mabwana wengi! Umeulizwa?
Sasa si ndio umpe namba nipate baba wa kunilea mxiewww!!

Acheni kubania wenzenu ridhiki VIBUNGO nyie.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚wape wape vidonge vyaoooo wakimeza wakitema nishauri zao๐Ÿ™Œ
 
Back
Top Bottom