Wanawake acheni roho za kubana

Wanawake acheni roho za kubana

Fine Wine

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2023
Posts
595
Reaction score
1,691
Wanawake punguzeni roho mbaya na kijicho husda, unakuta mkaka kamuelewa rafiki yako anaomba contanct zake unaanza uchawi wako. Mwenzio pisi kali mkaka anataka kujiweka.

Wewe sasa na bichwa lako kama treni la Mwakyembe unaanza “Ooh! yule humuwezi!” Umeambiwa ananibeba mgongoni? Wewe mpe namba tutajuana huko huko km tutawezana.

Muda mwingine anafika mbali anaanza kutoa story ya familia ya rafiki yake kama anatoa documentary ya kaya maskini. Hahahaa!

“Nikwambie, kwanza yule kwao mama yake kazaa kila mtu na baba yake.” Hata yule rafiki yangu pale alipo hamjui baba yake. Na yeye mwenyewe atamrithi mama yake mana ana mabwana wengi! Umeulizwa?
Sasa si ndio umpe namba nipate baba wa kunilea mxiewww!!

Acheni kubania wenzenu ridhiki VIBUNGO nyie.
 
We mwenyewe unabana tu!! Kama sio nitumie namba yako humu 0620 898 989
 
Sio ustaarabu kutoa namba ya mtu bila ruhusa yake, vile vile kama kuna ukweli katika hayo wanayoyasema rafiki zako kwa wanaoomba namba yako basi jirekebishe.
 
Wanawake punguzeni roho mbaya na kijicho husda, unakuta mkaka kamuelewa rafiki yako anaomba contanct zake unaanza uchawi wako. Mwenzio pisi kali mkaka anataka kujiweka.

Wewe sasa na bichwa lako kama treni la Mwakyembe unaanza “Ooh! yule humuwezi!” Umeambiwa ananibeba mgongoni? Wewe mpe namba tutajuana huko huko km tutawezana.

Muda mwingine anafika mbali anaanza kutoa story ya familia ya rafiki yake kama anatoa documentary ya kaya maskini. Hahahaa!

“Nikwambie, kwanza yule kwao mama yake kazaa kila mtu na baba yake.” Hata yule rafiki yangu pale alipo hamjui baba yake. Na yeye mwenyewe atamrithi mama yake mana ana mabwana wengi! Umeulizwa?
Sasa si ndio umpe namba nipate baba wa kunilea mxiewww!!

Acheni kubania wenzenu ridhiki VIBUNGO nyie.
Polee mama, ila fahamu kitu kimoja "unayemwona best friend wako nayeye ana best friend wake ambaye sio wewe"
 
Wanawake punguzeni roho mbaya na kijicho husda, unakuta mkaka kamuelewa rafiki yako anaomba contanct zake unaanza uchawi wako. Mwenzio pisi kali mkaka anataka kujiweka.

Wewe sasa na bichwa lako kama treni la Mwakyembe unaanza “Ooh! yule humuwezi!” Umeambiwa ananibeba mgongoni? Wewe mpe namba tutajuana huko huko km tutawezana.

Muda mwingine anafika mbali anaanza kutoa story ya familia ya rafiki yake kama anatoa documentary ya kaya maskini. Hahahaa!

“Nikwambie, kwanza yule kwao mama yake kazaa kila mtu na baba yake.” Hata yule rafiki yangu pale alipo hamjui baba yake. Na yeye mwenyewe atamrithi mama yake mana ana mabwana wengi! Umeulizwa?
Sasa si ndio umpe namba nipate baba wa kunilea mxiewww!!

Acheni kubania wenzenu ridhiki VIBUNGO nyie.
Umesema ukweli kbs waache vinyongo, sijui wanataka tuwatongoze wao, hii ipogo sana uswazi
 
Wanawake punguzeni roho mbaya na kijicho husda, unakuta mkaka kamuelewa rafiki yako anaomba contanct zake unaanza uchawi wako. Mwenzio pisi kali mkaka anataka kujiweka.

Wewe sasa na bichwa lako kama treni la Mwakyembe unaanza “Ooh! yule humuwezi!” Umeambiwa ananibeba mgongoni? Wewe mpe namba tutajuana huko huko km tutawezana.

Muda mwingine anafika mbali anaanza kutoa story ya familia ya rafiki yake kama anatoa documentary ya kaya maskini. Hahahaa!

“Nikwambie, kwanza yule kwao mama yake kazaa kila mtu na baba yake.” Hata yule rafiki yangu pale alipo hamjui baba yake. Na yeye mwenyewe atamrithi mama yake mana ana mabwana wengi! Umeulizwa?
Sasa si ndio umpe namba nipate baba wa kunilea mxiewww!!

Acheni kubania wenzenu ridhiki VIBUNGO nyie.
Pole sana. Ndugu mlalamikaji kwanini hukumfwata mwenyewe huyo pisi kali?
 
😂😂😂akome bwan,,,sasa utaona uyo mkaka namie nampenda ila kusema ndo siwezi afu aje anambie anamtaka rafiki angu,,we kuweza 😌😌
Kuwa na UPENDO WA AGAPE.....tia nambaaa
 
Back
Top Bottom