Thanks.pole kaka alichokufanyia sio kizuri wala usilie wanawake wote waliojaa mwache aende ila dunia ikimfunza atakumbuka fadhira zako
Siku hizi mnafanyaje vijana? enzi zetu ilikua ni process ndefu sana kumpata mwanamke, ndo mana ilikua ukimpoteza unatamani ujiue. Unakuta kumtafuta ni miezi 2, kumtongoza miezi 6 - 12, jibu miezi 2 - 4, kupewa tunda mwaka 1 - 2, kwahiyo unajikuta ukimpoteza mpenzi ujue utakaa zaidi ya mwaka au miaka 2 ndo uje kupata penzi.Ndo mana wengi mnakuta tulikua hatuachani japo tulikua tunakoseana sana.Mwanaume unalia na mapenzi? tafuta wengine wanawake walivyo wengi tena siku hizi kutongozana hakuna.
Pole Mkuu.Mm ni kama ww,imenitokea hvyo mipango ming kumbe mwenzangu hana hata nia na mm kabisa,nimejifunza kitu na ww inabd ujifunze,ucmwamini mwanamke hata mara moja wanabadlka kama kinyonga najua amekupa stress kiac amabch hata mamb yko mengine hayaendi.
Tunakutana Leo Kesho tunakutana Mango Garden Stori inaishia hapo Msimulizi anakufa.Siku hizi mnafanyaje vijana? enzi zetu ilikua ni process ndefu sana kumpata mwanamke, ndo mana ilikua ukimpoteza unatamani ujiue. Unakuta kumtafuta ni miezi 2, kumtongoza miezi 6 - 12, jibu miezi 2 - 4, kupewa tunda mwaka 1 - 2, kwahiyo unajikuta ukimpoteza mpenzi ujue utakaa zaidi ya mwaka au miaka 2 ndo uje kupata penzi.Ndo mana wengi mnakuta tulikua hatuachani japo tulikua tunakoseana sana.
Alafu wanawake wa siku hizi ndio walivyo
Unapendana, unamsaidia kupata kazi ama anasomeshwa mwisho wa siku anaishia na mwingine
Pole sana mkuu
Una miaka mingapi Mkuu?Siku hizi mnafanyaje vijana? enzi zetu ilikua ni process ndefu sana kumpata mwanamke, ndo mana ilikua ukimpoteza unatamani ujiue. Unakuta kumtafuta ni miezi 2, kumtongoza miezi 6 - 12, jibu miezi 2 - 4, kupewa tunda mwaka 1 - 2, kwahiyo unajikuta ukimpoteza mpenzi ujue utakaa zaidi ya mwaka au miaka 2 ndo uje kupata penzi.Ndo mana wengi mnakuta tulikua hatuachani japo tulikua tunakoseana sana.
Mimi siko ivyo kabisawalivyo au mlivyo?
Mimi siko ivyo kabisa
Najua kushukuru&huwa sivunji ahadi
Kuna tofauti ya kuwa na wanawake wengi na suala la kupenda.Mwanaume unalia na mapenzi? tafuta wengine wanawake walivyo wengi tena siku hizi kutongozana hakuna.
Nashukuru mkuuHongera sana..Joanah!
Hakika kulingana na maneno yako unafaa.