Ulivojibu sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
najikuta naandika nafuta aaaagrrrrrrriiiKuna dada mmoja tunaishi nae mtaa mmoja kiasi kwamba kutoka anapokaa yeye na mimi ni mwendo wa kama dk 5 hivi. Cha ajabu nimemwalika kwangu akaniambia tuma nauli, nikamuuliza unajua unawasiliana na nani akasema ndio.
Nikamuuliza nauli ya nini sasa akashindwa cha kujibu akajionea aibu mwenyewe. Nikamwambia mimi mwanamke ambae hana nauli huwa simtaki nikamblock.
Huwa nakerekaga sana na hako kaneno, wanawake badilikeni
1. Kwani single mother siyo wakushobokewa?Sio demu mkali sana wakumshobokea kwanza ni single mother
Hahahaaahaaaahh[emoji23][emoji23][emoji23]na angekua mbele yangu nimgemsindikiza na jicho hilo asingegeuka
Kuna dada mmoja tunaishi nae mtaa mmoja kiasi kwamba kutoka anapokaa yeye na mimi ni mwendo wa kama dk 5 hivi. Cha ajabu nimemwalika kwangu akaniambia tuma nauli, nikamuuliza unajua unawasiliana na nani akasema ndio.
Nikamuuliza nauli ya nini sasa akashindwa cha kujibu akajionea aibu mwenyewe. Nikamwambia mimi mwanamke ambae hana nauli huwa simtaki nikamblock.
Huwa nakerekaga sana na hako kaneno, wanawake badilikeni
wanini sasa,1. Kwani single mother siyo wakushobokewa?
2.
3.
4. N. K.
Jiandae kupewa mapovu View attachment 1186072