Wanawake acheni kuvaa mawigi

Imani yangu hainiruhusu sio tu kuvaa mawig bali hata kutembea kichwa wazi,

Sasa fanya hivi ukimuona mwanamke mwenye wig usimsalimie hata akiwa nduguyo, kuonesha msimamo wako.

Ndiyo maana ulitaka kuongelea hii issue kiimani zaidi, ili iendane na vikwazo vyako

Salamu ni jambo la kheri

Sio kwamba kwa sababu sivutiwi au kupendezwa na fake hair ndo nisisalimie au kuongea na aliyezivaa,

Ingekuwa hivyo salamu zingekuwa adimu kama Kenya
 
Washauri hawa wenzako kuwa inabidi ifike mda maamuzi magumu yafanyike kwa faida yao, inawezekana ni pepo kama ulivyosema

Wizara ya afya ili jitahidi sana kueleza vitu vyenye madhara watu hawaelewi ni utashi wa mtu.
 
Tip of the Day:

Wanaume wanaowanunulia wanawake Fake Hair huku wao hawapendezwi wala kuvutiwa nazo, ni jambo la busara na hekima WAKISITISHA huduma hiyo ili kupata nafasi ya kufurahia mvuto wa asili wa nywele za wanawake
Kama tu unataka ununiwe na papuchi ubaniwe
 
Wizara ya afya ili jitahidi sana kueleza vitu vyenye madhara watu hawaelewi ni utashi wa mtu.

Nilisikia wizara ya afya inataka kupiga marufuku Fake hair kuuzwa madukani, sijui ni kweli
 
Kama tu unataka ununiwe na papuchi ubaniwe

Labda kama mimi ni Dr Slaa halafu mpenzi wangu ni Josephine, akibana papuchi yake atanishawishi kwenda kwa mchepuko kusuuza
 
Reactions: Art
99.9% Ya wanawake waliohumu Jf niwatumiaji wakubwa wa mawig.... Na kama Yasingekuwa Hayo Madude basi nadhani hata Shobo na Maneno ya Humu yasingekuwepo....
 
Yaani nimtose mtoto kama huyu kwasababu kavaa wig sijui weaves??!! Msinitanie nyie vijana....

 
Yaani nimtose mtoto kama huyu kwasababu kavaa wig sijui weaves??!! Msinitanie nyie vijana....


Hapo ni suala la ku-assume constant kwenye nywele ukizingatia huyo mtoto ni mzuri na ana mvuto wake

Ila hizo nywele zingekuwa za asili ungevutiwa naye mara mbili zaidi, pia ungemuona mzuri zaidi
 
Maamuzi magumu

Gabrielle Union: "I took my weave out and got creative with my natural hair"
 

Attachments

  • 1448448957857.jpg
    24.9 KB · Views: 276
Unaweza kuona tofauti ya mvuto kwenye hizi picha:
 

Attachments

  • 1448449270107.jpg
    26.3 KB · Views: 274
  • 1448449284355.jpg
    24.5 KB · Views: 263
Nywele fupi lakini anavutia na kupendeza zaidi
 

Attachments

  • 1448449705679.jpg
    21 KB · Views: 277
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…