Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Uache sasa...jamaaa katoa tamko. Vipi shem wangu hajawahi kumaind...
maana bro Kaboom kasema unaeza shika kichwa ukakutana na mabonde, na mteremko
Shem wako ndo alinipendea hayo hayo, so hana noma
Litanukaje si maduka yangekuwa yananuka😩😕? Jasho la kichwani kutokana na mhusika kukaa na msuko huo mda mrefu hata kichwani kuna jasho... suala la kuweka nywele bandia na usafi wa kichwa ni hoja mbili tofauti.
Naunga mkonyo hoja
Sio uchafu binafsi, wigi linatema lenyewe maana tofauti na nywele za kawaida lenyewe haliruhusiwi kugusa maji
Itakuwa Bae....
Kwani ukiwa na wigi kichwani unaweza kuoga (full) ama kuogelea kama wengine?
Kwani ukiwa na wigi kichwani unaweza kuoga (full) ama kuogelea kama wengine?
Sasa wewe wigi la nini wakati nywele zako tuu ni wigi tosha? Hivi luv bibi yako anaasili ya Asia? Au..
Kwani huwa mnazitoa kabla ya kwenda bafuni?
Hivi hata pale unapozichana huwa unahisi kama ni nywele zako vile?
Teh teh..Yani sometimes unakuta msichana anageuka kuangalia upande mwingine ila wig limebaki straight tu..halijafwata direction ya kichwa...
Mmhhhh!!!Nizipeleke wapi? Labda ili nikazitupe au nichome moto