Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Heaven Sent akiongea nyakoo anaambiwa hayamuhusu na anatumia lugha mbaya sijui, kweli nimeamini kunya anye sonko akinya nyakoo kaharisha.
Ngoja nione kama baada ya huu uzi maweavs yataisha
Hayo mawig ya bei rahisi..Hata Paulo hawezi kukuruhusu kuvaaAaah sio kwamba nikigeuza kichwa lenyewe linabaki straight. Mmh watu wa humu loooooo
Hivi unafikiri haya madongo ya weaves or magutambi yatabadili mtu? Kila mtu ana uhuru wa kuishi atakavyo as long as havunji sheria ya nchi. Tupigeni tu story hapa tuenjoy maisha. Ila j2 ya leo nimecheka mnooo
Mpendwa ukibandika hizo,kidume cha mbegu(our son) uwa hakuogopi?Na hiki kipilipili huku kichwani ningetokaje? Ngoja nikabandike kucha na kope mpendwa kesho kazini
Heaven Sent akiongea nyakoo anaambiwa hayamuhusu na anatumia lugha mbaya sijui, kweli nimeamini kunya anye sonko akinya nyakoo kaharisha.
Ngoja nione kama baada ya huu uzi maweavs yataisha
Walioelewa washaanza kufanya maamuzi magumu ya kuacha kuvitumia.
Teh hilo jina silipendi daddyHayo mawig ya bei rahisi..Hata Paulo hawezi kukuruhusu kuvaa
Hahaha hapa lazima kuna upande utatupa kombora lingine tena sasa hivi. Nicheke mie niongeze siku za kuishiYaani baada ya ile ya vitambi nikajua tu kifuatacho itv
Ndivyo unavyohisi eti? Haya hisia njema.
Asilimia kubwa ya wanawake ni ya kuzuga... Midomo rangi si yake, kucha rangi si yake wengine wanaweka kucha za bandia, wapo wanaoweka matiti ya bandia, mwendo si wake anamuiga model fulani bila shaka anapotembea, nywele za wafu au za viwanda... Makalio mengine si ya kweli au wametumia dawa ingawa wapo ambao wako original, wafupi wanavaa high heels, kope si zake, nyusi zimenyolewa akapaka sijua ndo nini.... Hebu wewe fikiria mwanamume mwenye six pack ya kichina ili akufurahishe au mwanamume anayemwomba rafiki yake bamia au ananunua dukani ili akuridhishe... Wanawake wengi ila si wote wanaigiza maisha
Mpendwa ukibandika hizo,kidume cha mbegu(our son) uwa hakuogopi?
Unaweza kuthibitisha utafiti wangu hata kupitia hii thread
Acheni kutafuta kuwa wazungu au wahindi. Mnavutia zaidi mkiwa na nywele zenu hizo hizo. Cha msingi ni kujiamini tu.
Eti jiwe la kusugulia mguu!sasa mkuu unakuta mtu ana kichwa kama jiwe lakusugulia miguu afu nywele kipilipili zile nyekundu kama mshabiki wa simba unataka afanyaje ili kuziba hiyo ambayo kwake anaona aibu na anataka kwenda na wakat....
Nyoa kipara, kina mvuto wake