Wanawake acheni hii tabia mara moja

Sawa nimekuelewa
 
We mwenyewe mbona unaombaga ombaga ofa humu?..au unasahau napema..kati ya comments zako 10, 3 umeomba ofa ... unapenda mitoko na hela huna...mko same boat ..mkae mjadili mnaachaje hiyo tabiaπŸ˜”
Mimi huwa nalopoka kuchanga msha genge tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bhna
 
Mwingine anakua ana stress..anaamua kujipumzisha na kinywaji kwa masaa mengi ..! Kwanza mwanamke anayekunywa bia taratibu ana ustaarabu( anajibrand) sana kuliko anayepiga mitarumbeta...mijicho juu juu hatulii
Ahahahah
 
Juliana ipo pande zipi nije kukuunga mkono
 
Ninyi nao mmezwa na savana

Savanna, desperado, flying fish, na hizo light waweke kundi moja, lakini macalan ukikuta mwanamke yupo nayo mezani ujue kabisa hajatokea tandahimba siku hiyo , hapo ukiona anasimu na anaperuz jua anaangalia mipango ya conference za kibiashara na masoko ya mboga mboga ulaya, huyo hapepesi wala kugeukageuka hovyo ili aitwe
 
Mi baby wangu anakunywa bia moja masaaa ,kwa hiyo wengine hunywa pole pole Ndio wanapenda sio kwamba hawana hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…