M-pesa
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 602
- 151
mwanamke anachangia pato kubwa katika familia kuliko mwanamme. Hivi ulishajiuliza valuation ya unpaid duties inafanyikaje?
Kusafisha ndani, kupika, kulea watoto, kuwanyonyesha, kubeba mimba ndani ya tumbo lake, kulea mume n.k. Hivi vyote vikiwekwa kwenye monetary value unadhani itafikia vijichenji vyako unavyoleta nyumbani?