Wanavyuo msisahau Kongamano hili...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ni la Mitihani ya Marudio na Mitihani Maalum. Lazima mlioteleza mkatubu. Pale UDSM,Kongamano linaanza tar. 24.9.2012. Mtawaambia 1st year aka M4C/Sensa kuwa mna mikutano ya kisiasa-ya REDET. Watawaamini. Kumekucha tena...
 
Kuna 1st year sio, watajua tu nini kinaendelea, watawakariri tu 2nd year na 3rd year wanaokuja mapema. Mkikutana makoridoni watakua wanaonyeshana.Utasikia "kilaza yule tulimuona kipindi cha 'conference'
 
Suma,fika kwanza Chuoni halafu ndio uanze harakati za kuchange kozi...
 
Back
Top Bottom