Wanaume'maharage ya 'mbeya' wako hivi

Wanaume'maharage ya 'mbeya' wako hivi

Wengi wanadhani kuwa maharage ya mbeya ni kwa wanawake tu! lakini ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao hunaswa kirahisi sana na wanawake, mfano wa wanaume hawa ni jamaa wa miaka 26 kumuoa mwanamke(mbunge)wa miaka 60, huenda alihadiwa vitu vya bei mbaya kama wafanyiwavyo baadhi ya akina dada.Kiufupi mwanaume maharage ya mbeya yuko hivi..
=Anapenda kuchekacheka akiwa na wanawake,
=Akitumwa hata vocha na mwanamke anakubali(wadada jaribuni muone ukweli)
=Wanapenda kujinyenyekeza kwa wanawake
= Wakipigwa busu na mwanamke utaona wanaanza kukenua meno harafu wanaanza kushangaa-shangaa pembeni,
=Huwa wanapenda kutanguliza neno samahani kama wanaongea na mwanamke
=Wanapenda kujifanya wasamaria wema kwa mwanamke hata kama mwanamke ni matawi juu. MAHARAGE YA MBEYA MAJI MARA MOJA, Haya wadada leteni sifa za wanaume wa "maji mara moja"

Ni kweli halafu na hizo sifa walizonazo ni hatari sana kwa WAKE ZA WATU, mfanyie hivyo mke wa mtu uone kama hautakula mzigo kiulani, ni wanaume wachache sana waliobarikiwa kuwa na hizo sifa
 
Baada ya wanawake kuwa kikaangoni humu jf sasa wanapumulia kwenye huu uzi
 
  • wanapenda kujiona smart mda wote na kuangalia mwanamke kwa kuiba iba.
  • wakiwa wanaongea wanalambalamba lips zao na kugeuzageuza macho
  • wanajifanya matawi ya juu kumbe mburura
  • ni wabakaji.
  • wanastory nyingi zinazoanzia na "mimi bla bla............"
  • wanapenda kuwa in groups na haddith zo nikuongelea mademu wasiyoweza wapata.

hawa wako ni masharoharooooooo.
 
Hao wanawawake wanaotongoza wanaume ni ``scrapers``...we uliona wapi dhahabu inamtafuta mchimbaji
wengi wanadhani kuwa maharage ya mbeya ni kwa wanawake tu! Lakini ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao hunaswa kirahisi sana na wanawake, mfano wa wanaume hawa ni jamaa wa miaka 26 kumuoa mwanamke(mbunge)wa miaka 60, huenda alihadiwa vitu vya bei mbaya kama wafanyiwavyo baadhi ya akina dada.kiufupi mwanaume maharage ya mbeya yuko hivi..
=anapenda kuchekacheka akiwa na wanawake,
=akitumwa hata vocha na mwanamke anakubali(wadada jaribuni muone ukweli)
=wanapenda kujinyenyekeza kwa wanawake
= wakipigwa busu na mwanamke utaona wanaanza kukenua meno harafu wanaanza kushangaa-shangaa pembeni,
=huwa wanapenda kutanguliza neno samahani kama wanaongea na mwanamke
=wanapenda kujifanya wasamaria wema kwa mwanamke hata kama mwanamke ni matawi juu. Maharage ya mbeya maji mara moja, haya wadada leteni sifa za wanaume wa "maji mara moja"
 
Back
Top Bottom