Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
Wengi wanadhani kuwa maharage ya mbeya ni kwa wanawake tu! lakini ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao hunaswa kirahisi sana na wanawake, mfano wa wanaume hawa ni jamaa wa miaka 26 kumuoa mwanamke(mbunge)wa miaka 60, huenda alihadiwa vitu vya bei mbaya kama wafanyiwavyo baadhi ya akina dada.Kiufupi mwanaume maharage ya mbeya yuko hivi..
=Anapenda kuchekacheka akiwa na wanawake,
=Akitumwa hata vocha na mwanamke anakubali(wadada jaribuni muone ukweli)
=Wanapenda kujinyenyekeza kwa wanawake
= Wakipigwa busu na mwanamke utaona wanaanza kukenua meno harafu wanaanza kushangaa-shangaa pembeni,
=Huwa wanapenda kutanguliza neno samahani kama wanaongea na mwanamke
=Wanapenda kujifanya wasamaria wema kwa mwanamke hata kama mwanamke ni matawi juu. MAHARAGE YA MBEYA MAJI MARA MOJA, Haya wadada leteni sifa za wanaume wa "maji mara moja"