Wanaume'maharage ya 'mbeya' wako hivi

Wanaume'maharage ya 'mbeya' wako hivi

haaaaaaaa!!!!!!! nicheke mie cute,,,,,,, Wisest man wapashe hao maharage ya mbeya..........
But my spanish guitar hayuko ivo!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Naona mzee umeamua kuja na ya Wanaume sasa ok...lakini wanaofanya hivyo hao sio " Wanaume" hao ni "watoto wa kiume"
Hao ndo wale hata maisha. yakiwakaba sana wanaweza toa hata "jicho" ili mradi tu apate sifa

Umenikuna hapo kwenye wenaume na watoto wa kiume
 
haaaaaaaa!!!!!!! nicheke mie cute,,,,,,, Wisest man wapashe hao maharage ya mbeya..........
But my spanish guitar hayuko ivo!!!!!!!!!

Ila si unaona? wakiitwa maharage ya mbeya hawalalami! ok jana ilikuwa zamu kwenu leo kwao
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mwanaume maharage ya mbeya kuna wanaopenda wanawake na wale wanaopenda mwanamke mmoja jina la harage la mbeya ni kwa kinadada tu wao nirahisi kupata majina mengi na ya kasfa kwa mwanaume hata kama nimalaya ataitwa kidume
 
Hili jukwaa limeshapoteza mwelekeo siku hizi. Sidhani kama nitakuja huku kwa siku hizi.
 
Wengi wanadhani kuwa maharage ya mbeya ni kwa wanawake tu! lakini ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao hunaswa kirahisi sana na wanawake, mfano wa wanaume hawa ni jamaa wa miaka 26 kumuoa mwanamke(mbunge)wa miaka 60, huenda alihadiwa vitu vya bei mbaya kama wafanyiwavyo baadhi ya akina dada.Kiufupi mwanaume maharage ya mbeya yuko hivi..
=Anapenda kuchekacheka akiwa na wanawake,
=Akitumwa hata vocha na mwanamke anakubali(wadada jaribuni muone ukweli)
=Wanapenda kujinyenyekeza kwa wanawake
= Wakipigwa busu na mwanamke utaona wanaanza kukenua meno harafu wanaanza kushangaa-shangaa pembeni,
=Huwa wanapenda kutanguliza neno samahani kama wanaongea na mwanamke
=Wanapenda kujifanya wasamaria wema kwa mwanamke hata kama mwanamke ni matawi juu. MAHARAGE YA MBEYA MAJI MARA MOJA, Haya wadada leteni sifa za wanaume wa "maji mara moja"
kama imekuhusu hivi hii, maana baada ya kuwasema jana leo umeleta mada ya kujinyenyekeza kwao
 
Hakuna mwanaume maharage ya mbeya kuna wanaopenda wanawake na wale wanaopenda mwanamke mmoja jina la harage la mbeya ni kwa kinadada tu wao nirahisi kupata majina mengi na ya kasfa kwa mwanaume hata kama nimalaya ataitwa kidume

kijiko cha hotelini kila mdomo waingia- (mwanaume)
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Wanaume na Watoto wa Kiume. Unaowazungumzia hapa watakuwa ni WATOTO WA KIUME.
 
Back
Top Bottom