Wanaumeee!!! Njia za kutongoza mwanamke na kukupenda daima...

Wanaumeee!!! Njia za kutongoza mwanamke na kukupenda daima...

nnnn.jpg
SOMO ZURI KENU VIJANA , LAKINI KAPICHA HAKA KAMENICHENGUA ZAIDI
 
Siku hizi kuna mdudu anaitwa PESA yan dem akiziona tu tumbo la kuhara linamshika kwa tamaa wala huna haja ya kukausha mate ya mdomo kwa stori za kusadikika...
 
mimi meno yote nimeishatowa hiyo nyama nitatafunia nini, tena nilipokuwa nina meno nyama zote nikizitafuna kuanzi kongoni, nyumbu, nyati mpaka kuku wa kienyeji lakini sasa hivi ninawaachia wenye meno nao wafaidi utamu wa nyama
wap nyie wazee ndo wabaya kweli mnapiga sana mabinti nyie,hata usizuge
 
Siku 1 nilikua hotel fulani and i fell in love na meneja wa hotel kwa macho tu, i was sure kwamba nimem mind, akawa ananipotezea sana tu, jioni nilitoka nikwamwachia magazeti niliyokua nasoma and then niliporudi, nikatoa pochi ambayo ilikua na vikosi kadhaa vya wanamsimbazi, si akaanza kujileta mwenyewe tu, kimya kimya bila maneno mengi!
 
aaaah,,,ulimlala??????
 
Mmh, inawezekana ni kweli maana naona wadada leo hawakosoi kitu kabisa, sijui wamekimbilia wapi
 
Sijui kama kutongoza au kupenda kuna formula. Jinsi unavyojipanga na kumfata mtu ndivyo jinsi mapenzi/maisha yenu yatakavyokuwa. Ukienda kisanii na uhusiano wenu utakuwa kisanii
 
Sijui kama kutongoza au kupenda kuna formula. Jinsi unavyojipanga na kumfata mtu ndivyo jinsi mapenzi/maisha yenu yatakavyokuwa. Ukienda kisanii na uhusiano wenu utakuwa kisanii

hahaahhaha umenchekesha kweliii,,,
 
Mhhh watongozaji mmepewa nyenzo hizoo tumieni banaa sio kutumia maneno makavu kama mkate
 
Back
Top Bottom