Wanaumeee. ..... Itikeni Naam......

Wanaumeee. ..... Itikeni Naam......

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Halafu mkishaitika nisaidieni haya maswali yanayonizonga kichwani maana sielewi atii....

Hivi mwanaume ulishakuwa na familia maana ya mke na watoto kadhaa, kwa namna yeyote ile yule mwanamke akiondoka kwenye nyumba na watoto akakuacha uendelee na maisha mwenyewe huwa inawauma sana? Hata kama kuna magomvi yaani mwanaume anaweza hata kukonda na au kuwa mlevi na hajijali tena? Unakuta huyu mwanaume ana hela zake ila kuachwa na mke na watoto anakuwa anashindwa kabisa kuendelea kuishi.... bila kujali yeye mwanaume kila siku ndo alikuwa anamtamkia mkewe kuwa ntakufukuza na vifaranga vyako, hata ukiondoka hata sijali tena ntaoa mwanamke mwingine. Shangaa sasa mke akiondoka..... haoi hanunui milupo badala yake kila siku anadhoofika..... sielewi nini huwa kinatokea.

Hiki nilichoona hapo juu nina ushahidi nacho, binamu yangu mmoja yuko hooii amebaki kwenda kazini tuu ndo nguvu aliyonayo. Ana pesa nzuri na anakaa kwenye nyumba yake Tegeta ila alimkorofisha sana mkewe kumnyanyasa sana kumfuja hatimaye mke akaondoka na watoto weeh yaani hivi niandikavyo binamu anatia huruma. Naomba ni wanaume mnieleweshe.... kwanini huwa mnakata tamaa sana, mkizoea kuishi na mwanamke akiwa mbali nanyi huwa hamuwezi kuendelea mbele?

Sijui mnaenielwa....!!!?

Kasie Kasiba.
 
huyo alikuwa mwanaume suluari na alimuweka mke wake kama kijakazi. Kama mnashirikiana ndani, kusaidiana kazi za nyumbani na umelelewa vyema na mama yako kakufundisha stadi za kazi na maisha, huwezi kubabaika akiondoka mwanamke
 
nikupe ada Tsh ngap,hili n somo kwangu kabla sijaingia kwny NDOA
 
sio mamen wa ki TZ
huyo alikuwa mwanaume suluari na alimuweka mke wake kama kijakazi. Kama mnashirikiana ndani, kusaidiana kazi za nyumbani na umelelewa vyema na mama yako kakufundisha stadi za kazi na maisha, huwezi kubabaika akiondoka mwanamke
 
Naam Kasie,
Inawezekana sana mwanaume akashindwa kujiongoza pindi mke akiondoka. Humu mitandaoni huwa watu watabisha na kusema "huyo ni mvulana", "mwanaume suruali", lakini mara nyingi divorces zinaleta matatizo na kuyumba kwa watalaka na hatimaye wengine huishia kutumia mihadarati na pombe.

Vijana hawawezi kuelewa coz bado hawajui maana ya mke ndani ya nyumba.
 
Rudi nyumbani haraka we mtoto usimuumize ndugu yangu kwa mawazo.

hahhaha nna kalikizo ka week2 acha nikatendee haki kwakwel!hapa ntapaa kwenda dar,nimetoka Ir,nikaja Ifakara,namalizia dar bbyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy ! ikiwezekana niend na mwanza kbs !nikrUd ni PASAKA !ndo muone uwepo wetu tukiwa na nyinyi!tusichukliane poa !lol
 
Naam Kasie,
Inawezekana sana mwanaume akashindwa kujiongoza pindi mke akiondoka. Humu mitandaoni huwa watu watabisha na kusema "huyo ni mvulana", "mwanaume suruali", lakini mara nyingi divorces zinaleta matatizo na kuyumba kwa watalaka na hatimaye wengine huishia kutumia mihadarati na pombe.

Vijana hawawezi kuelewa coz bado hawajui maana ya mke ndani ya nyumba.

SALUTE,SALUTE,SALUTE SALUTE
 
Halafu mkishaitika nisaidieni haya maswali yanayonizonga kichwani maana sielewi atii....

Hivi mwanaume ulishakuwa na familia maana ya mke na watoto kadhaa, kwa namna yeyote ile yule mwanamke akiondoka kwenye nyumba na watoto akakuacha uendelee na maisha mwenyewe huwa inawauma sana? Hata kama kuna magomvi yaani mwanaume anaweza hata kukonda na au kuwa mlevi na hajijali tena? Unakuta huyu mwanaume ana hela zake ila kuachwa na mke na watoto anakuwa anashindwa kabisa kuendelea kuishi.... bila kujali yeye mwanaume kila siku ndo alikuwa anamtamkia mkewe kuwa ntakufukuza na vifaranga vyako, hata ukiondoka hata sijali tena ntaoa mwanamke mwingine. Shangaa sasa mke akiondoka..... haoi hanunui milupo badala yake kila siku anadhoofika..... sielewi nini huwa kinatokea.

Hiki nilichoona hapo juu nina ushahidi nacho, binamu yangu mmoja yuko hooii amebaki kwenda kazini tuu ndo nguvu aliyonayo. Ana pesa nzuri na anakaa kwenye nyumba yake Tegeta ila alimkorofisha sana mkewe kumnyanyasa sana kumfuja hatimaye mke akaondoka na watoto weeh yaani hivi niandikavyo binamu anatia huruma. Naomba ni wanaume mnieleweshe.... kwanini huwa mnakata tamaa sana, mkizoea kuishi na mwanamke akiwa mbali nanyi huwa hamuwezi kuendelea mbele?

Sijui mnaenielwa....!!!?

Kasie Kasiba.

Naomba namba ya simu ya Binamu nina kazi nayo.... kuna kaproject katamkeep biiiizee
 
Tatizo mazoe mama!

Afu ukiona mpaka kakuoa,jua anakupenda,hata aongee maneno gani, afanye vituko vipi!

Ila baadhi huwa wanajisahau tu, na anakwambia toka huku moyoni anasema 'ole wako uondoke kweli' huku akijipa moyo huwezi kuondoka,
MWANAMKE AKICHOKA AKAONDOKA KWELI HAYO NDIO MATOKEO YAKE.
na hata mwanamke anapoondoka si kwamba hampendi mumewe,la! Najua unaelewa mama!

Mazoea yanatesa
 
Back
Top Bottom