Wanaume

Mimi mwamvuli nasahau Sana miamvuli balaa. Huwaga supendelei kutembea na mwamvuli kukiwa na mvua maana nasahaugi Sana.

Kuwa na wallet ni u GENTLEMAN 😊 ma gentleman wotee huwaga hawakosi wallet.

Cc. Tlaatlaah
Hivi miamvumu huwaga na nini??😃😅,.
Nishapoteza karibia mwamvuli wa kila mtu nyumbani hadi saizi hawaniazimi hata kuwe na mvua kubwa kiasi gani,. Kosa ni kutulia tu mahali baasi nauacha hapohapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…