Wanaume

Duh nilishawai sahau mwamvuli wa watu niliufwata chap

Ila hiyo ya wallet ni mtazamo wako tu
Mkuu, tembea ujionee nenda huko duniani moja ya kuonesha upo civilized unapo fanya cash payment unapo toa wallet unaonyesha ume be CIVILIZED

Kwa Sasa ni kuwa na wallet japo kwa Sasa dunia ime enda mbele Sana Sana kiasi kwamba huitajiki kua na wallet maana Kuna wallet nyingi za ki digital.
 
Huwa na scan au na chanja kadi inatgemea na nipo wapi
 
Hiyo ya wallet hata mm imenishinda. Yaani naonaga kama usimbufu mara nifungue wallet ndo nitoe pesa au kitambulisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…