Wanaume

Wanaume

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,467
Reaction score
65,790
Hivi ni mimi tu ndio nashindwa kutembea na 🪪 wallet au nikitembea na wallet basi nita sahau pahala au nitaangusha naona kubeba wallet naona kama ni shida fulani nimeenda nishazoea sasa vitambulisho pesa naweka kwenye mfumo wa jeans imepita hivi sitembei kabisa na wallet hili swala limenishinda kabisa

Kutembea bila kuweka mikono mfukoni sio yote no mkono mmoja lazima niweke mfukoni hii nayo siwezi acha ni kitu imenishinda kabisa kuacha naona ni mazoea

Je ni kwangu tu au
 
Simu yangu ina wallet pembeni naweka hela ya dharura au yakutumia muda ninaotoka plus business card na vitambulisho sinahaja ya kubeba mizigo mingi
 
Hivi ni mimi tu ndio nashindwa kutembea na 🪪 wallet au nikitembea na wallet basi nita sahau pahala au nitaangusha naona kubeba wallet naona kama ni shida fulani nimeenda nishazoea sasa vitambulisho pesa naweka kwenye mfumo wa jeans imepita hivi sitembei kabisa na wallet hili swala limenishinda kabisa

Kutembea bila kuweka mikono mfukoni sio yote no mkono mmoja lazima niweke mfukoni hii nayo siwezi acha ni kitu imenishinda kabisa kuacha naona ni mazoea

Je ni kwangu tu au
Mimi mwamvuli nasahau Sana miamvuli balaa. Huwaga supendelei kutembea na mwamvuli kukiwa na mvua maana nasahaugi Sana.

Kuwa na wallet ni u GENTLEMAN 😊 ma gentleman wotee huwaga hawakosi wallet.

Cc. Tlaatlaah
 
Maisha yangu yote hadi leo hii sijawahi kumiliki wallet, kwanza natembea na kitu/vitu gani hasa hadi nitumie wallet? Vitambulisho nabeba naenda navyo wapi? Maana kama kuna jambo ni kubeba kimoja au viwili na pesa kiasi fulani basi
 
Mimi mwamvuli nasahau Sana miamvuli balaa. Huwaga supendelei kutembea na mwamvuli kukiwa na mvua maana nasahaugi Sana.

Kuwa na wallet ni u GENTLEMAN 😊 ma gentleman wotee huwaga hawakosi wallet.

Cc. Tlaatlaah
Duh nilishawai sahau mwamvuli wa watu niliufwata chap

Ila hiyo ya wallet ni mtazamo wako tu
 
Back
Top Bottom