Wanaume

Wanaume

Lyne

Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
50
Reaction score
24
Ndo nshazaliwa kama hunipendi na unene wangu katafute wembamba
 
afadhali wewe mnene
wakati wa sherehe ya kijiji
tukikufanya kitoweo
kitatosha shughuli nzima kwa starter, main course na desert.

Asante!
 
Unamaanisha umejaariwa pande za mbali?
 
kwa bongo wanene mbona mi naona ndio wanamarket sana, au nakosea jamani
 
unene wa sehemu ipi na ipi?????

na nani kasema wanene hawafai?????
 
Jivunie ulivyo dada, ila hakikisha unakula vyakula vyenye afya na mazoezi ufanye kwa faida yako. Unene mwingine ni mateso na muelekeo wa mateso ya muda mrefu.... na si suala la mtazamo wa wanaume.
 
Jivunie ulivyo dada, ila hakikisha unakula vyakula vyenye afya na mazoezi ufanye kwa faida yako. Unene mwingine ni mateso na muelekeo wa mateso ya muda mrefu.... na si suala la mtazamo wa wanaume.
Vipi wewe, mnene au mwembamba...?
 
tutakutaka hivyo hivyo na unene wako tuchezeechezee hayo mafuta yako. Nalog off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom