Wanaume....!

Pole kwa kutumika, ulijua ni mlokole ukaona umepata!
 
hahaa, nimeelewa kwanini mitumba haipigiwi promo au haihitaji maafisa masoko! kitu USED IN USE! Ni mwendo wa kuvua, mwenzako anaokota anatupia.

kwa mistari hii, hakyamungu bidada akose mwenyewe maana upele ushapata munaji.

BACK TO THE TOPIC
mara zote mimi hupenda kusikiliza pande zote. sishawishiki kuamini masimulizi ya upande mmoja maana lazima avutie kwake

mleta mada umeeleza kero yako lkn hujasema mna muda gani na mmeshafanyiana nini cha kuwaweka karibu. sio mmekutana chuo au kota za kazi mkapeana faraja kwa muda (1kor:7...) na ukawahi kujiamini kuwa wewe ndiye dereva hali haujawahi kutamkiwa hivyo.

pia huenda jamaa amejiongeza baada ya wewe kutotimiza vigezo na sifa azitakazo. umetaja 'ulikuwa kwake' hii inathinitisha mlikaa kama mke na mume (kinyume na injili). hapa baadhi ya wanawake hujisahau. fuatilia ndoa nyingi. huacha manjonjo ya enzi za 'kuombana mechi za kirafiki' na kujiamini muda wa kampeni umeisha, niko ofisini. aende tu akirudi atanikuta.

sasa mzee wa kazi akipata 'updates' za google kule kwa mtogole, lazima wewe akusahau.

fanya uchunguzi wapi hujapatendea haki, mwaga utamu kama wote atarudi tu kwenye mstari madhari uko ndani. mnakataa tu lkn njia za kuchepuka/divert huwa ni rahisi hazichoshi maana sio rahisi kupata 'kona kona nyingi. mafereva wanajua.

pia km umejiridhisha ana mke wake, amini huyo ana haki zaidi yako. na ikitokea mzee hawezi kukufanya 'kigaloni' basi potezea. tafuta wako.

mapenzi ya sasa ni michosho, usitegemee kumiliki wako peke yako wala ukutane na anayejifunza. everisingi izi yuzidi bati haile ini uzi.

uwe na siku njema!
 
kabla hatujakujibu ebu tuanze na ratio ya ke+me kwanza! kitakwimu na mwonekano mtaani+urahisi wa muingiliano wa shughuli za kijamii zinazokutanisha jinsi hizi mbili.

pia ugumu/urahisi wa utimizwaji wa hitaji hili la msingi.

CLEVER HINTERS TRAP HYENA BY USING A GOOD CHUNK OF MEAT!
Sasa kwa nini awe na wengi wakati anayempenda ni mmoja!?mkuu unajua mapenzi yanavyouma
 
Hii mada inanikumbusha machungu sana wanaume kipite tu kimbunga kiwabebe tubaki peke yetu labda tutakuwa na amani
Na viwanda vya kutengeneza dildo vifungwe ili muone mtakavokuwa mnatembea mnachekacheka kama mazombi.
 
Yaani ujinga wa mwanaume mmoja tayari umesha tu - include wanaume wote? ....

BTW-Pole kwa yaliyokufika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Amna ukimpata boya boya anatulia akitulizwa
Hakunaga kitu kama hiki huwa mnadanganya hivi sasa ujaribu kuingia kwenye mahusiano utajutaa.
 
Halafu jinsia yenu ina matatizo gani mbona hamtulii na mmoja jamaniii
Tunapenda mmoja ila tunatamani wengi

Wanaume wengi hawawez kuridhika na mwanamke mmoja kwa taarifa yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…