The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,580
Uko sahihi kabisaOmbea uwe the choosen one la sivyo utajutia effort zako ulizowekeza kwa mtu asiye sahihi
Kafanya nini?Pole Sana
Pole sana,Na wala sikuwahi kumchanganya na yoyote
Amesalitiwa na bebe wake πKafanya nini?
Jamani haya mapenzi sio poa πAmesalitiwa na bebe wake π
Kuhama nchi kwa sababu ya mvua kunyesha....UTAHAMA SANA... MY FRIEND.... IT RAINS EVERYWHEREPole sana ondoka tu usiongee nae tena jikaze yataishaa
Amen wakufe tu woteHii mada inanikumbusha machungu sana wanaume kipite tu kimbunga kiwabebe tubaki peke yetu labda tutakuwa na amani
Amen wakufe tu wote
Kwenda hukoo kimpitie huyohuyo wako, wapenzi wetu bado wanatuhitaji sisi
Pole sana,
Maisha haya bhana sujui yakoje,
Baada ya kuachana na mpnz wangu niliyempenda sana,(niliachana naye kwa sababu alikuwa ana-cheat na boda boda,mbaya zaidi alikuwa anafanya mapenzi kinyume na maumbile,nikishindwa kuvumilia nikaachana naye).
Nilikaa kwa muda bila kuwa na mahusiano,nikakutana na mdada mpole sana,ila alikuwa ameachana na mume wake,kwa madai kwamba mumewe alikuwa anataka kumfanya kinyume na maumbile,na kwa kuwa yeye ni mtu wa dini sana alikataa,akaamua kuachana na mumewe!
Nikaamua kuanza mahusiano na huyu dada,(ana mtoto mmoja) alikuja dar kutoka mkoa,tukaongea mengi sana,nikaridhia kuwa atanifaa!
Baada ya kama mwezi mmoja,bikawa nahisi mabadiliko hasi sana kutoka kwake,nlipomuuliza kunani aliishia kunambia "Nipo sawa"
Nilijitahidi kwa kiasi kikubwa kuvumilia,lakini siku moja akaniandikia "kusema ukweli nisikudanganye,mwanaume pekee ninaye mpenda ni mume wangu" nikacheka sana,nikamwambia "kila la kheri"
Baada ya kama wiki akarudi tena anaomba tuendelee na mahusiano aliteleza kunambia vile!nikamwambia tutaongea!
Baada ya muda kidogo kupita akanambia yupo njiani kuja dar,nikashangaa sana,maana nikaona anataka kunipelekesha,mbaya zaidi anakuja dar lakini ananitaka nimfuate akishamaliza shughuli zake zilizomleta,nikampotezea!
Baadaye akanitumia ujumbe,
"Nilikuwa na wapenzi wengine,nimechagua mwanaume mwingine anayenifaa zaidi" nikamwambia kila la kheri!
Tangu last week najiangalizia zangu movie mlimani city nakula nyama choma narudi zangu nyumbani!
Huu ndiyo ubinadamu chini ya jua,tunajifunza mengi!
Jamani haya mapenzi sio poa
Halafu jinsia yenu ina matatizo gani mbona hamtulii na mmoja jamaniiiJamani haya mapenzi sio poa π
Aisee pole sanaPole sana,

Mungu huyo ndio hajamuumba huyo ME wa kutuliaHalafu jinsia yenu ina matatizo gani mbona hamtulii na mmoja jamaniii