Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,809
- 40,560
Pole sana..Habari ya mchana....
Huyu kaka niko naye kwenye mahusiano kwa muda sasa niseme tu ameokoka anasali haya makanisa ya kiroho.Nilimpenda japo yeye hakunipenda kama alivyokua ananiaminisha.
Sasa bwana last week tulikua pamoja kwake.
Asubuhi alitoka,katika pitapita zangu nikakuta nguo za kike na viatu.
Mapigo ya moyo yalishtuka kidogo, baada ya kurudi nauliza vile vitu ni vya nani jibu nililopewa ...kiherehere changu kimeniponza kwanini niangalie vitu vyake bila ruhusa yake!?
Nilichoka na jibu nikaamua tu kuondoka....Wanaume mpendwe vipi jamani!?
Nilichogundua nilikua mpango kando pasipo mwenyewe kujua........
Si angeniambia tu tunasogeza siku... kinachoniuma hakuniambia ukweli nikampenda mzimamzima......
Mwanamke ana nafasi kubwa sana;anapoenda kumtembelea me anatakiwa aende kama mwanamke na asiende kama msichanaUnambadilishaje?! Naomba wazo
Hii mada inanikumbusha machungu sana wanaume kipite tu kimbunga kiwabebe tubaki peke yetu labda tutakuwa na amani

Huyo ni kauzu afu ana mambo ya kipoti poti.Pole sana hii yaweza kuwa mara ya 4 nakuta reply yako ukilalamika hivi hivi.
Hakuniambia kama anampenzi,sikuwahi kuhisi kwakua hakuwahi nionyesha mashaka.....i was very calm nilivyokua namuuliza ila majibu yake yalinichosha....hatujawasiliana tena.kabla ya kuwa nae
1.Alikwambia hana mpenzi mwingine????
2.Kwa muda wote uliokuwa nae hukuwahi kuhisi anakudanganya???
3. baada ya kuondoka umeshawasiliana nae tena???
NB. Itakuwa swali lako kwa bwana huyo uliuliza kwa kufoka, sidhani kama ungeuliza kwa utaratibu ungejibiwa vile!!
#Nyama ya Ulimi itumike vyema!
bado unampenda???Hakuniambia kama anampenzi,sikuwahi kuhisi kwakua hakuwahi nionyesha mashaka.....i was very calm nilivyokua namuuliza ila majibu yake yalinichosha....hatujawasiliana tena.
Teh teh teeeeeh!!!Una nafasi kubwa ya kumbadilisha
Wanaume sisi ni watoto,ke wakitujulia tu haya makelele hayatakuwepoTeh teh teeeeeh!!!
Wacha we!! Basi hongereni.Wanaume sisi ni watoto,ke wakitujulia tu haya makelele hayatakuwepo
Pole kwa kuachwa ndio ukubwa huoHakuniambia kama anampenzi,sikuwahi kuhisi kwakua hakuwahi nionyesha mashaka.....i was very calm nilivyokua namuuliza ila majibu yake yalinichosha....hatujawasiliana tena.
ha ha ha au mkuu ulielewi hilo?msichana hajui namna ya kuishi na mwanaume ila mwanamke anajua namna ya kuishi na mwanaume...sasa hapo ni nani ni msichana na ni nani mwanamke!Wacha we!! Basi hongereni.
Kwa hiyo wewe ulikuwa na yeye tu???Habari ya mchana....
Huyu kaka niko naye kwenye mahusiano kwa muda sasa niseme tu ameokoka anasali haya makanisa ya kiroho.Nilimpenda japo yeye hakunipenda kama alivyokua ananiaminisha.
Sasa bwana last week tulikua pamoja kwake.
Asubuhi alitoka,katika pitapita zangu nikakuta nguo za kike na viatu.
Mapigo ya moyo yalishtuka kidogo, baada ya kurudi nauliza vile vitu ni vya nani jibu nililopewa ...kiherehere changu kimeniponza kwanini niangalie vitu vyake bila ruhusa yake!?
Nilichoka na jibu nikaamua tu kuondoka....Wanaume mpendwe vipi jamani!?
Nilichogundua nilikua mpango kando pasipo mwenyewe kujua........
Si angeniambia tu tunasogeza siku... kinachoniuma hakuniambia ukweli nikampenda mzimamzima......
Pole Sana,sasa angekwambia kama anataka kuzugia tu ungekubali?Habari ya mchana....