Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 187
- 652
Marioo katuwakilisha kwa song la "mombasa"...Waambie hawa wasiosikia ππ½
Tulieni bado tupo kwenye kikao cha wanaume. Tunajadili mambo ya msingiUzi mzuri ila umekosa wachangiaji, nyie wanaume em mkuje hapa kuna jambo lenu.
πππ
Tuwatakie kila la kheriππ½Marioo katuwakilisha kwa song la "mombasa"...
Bora tukajaribu kule, mana bongo hamuelewek
JamaniππNasijui kwanini vibaba vyenye ukimwi vinajua kucare kwa kugawa hela na virusi.
SawaaaaaaTuwatakie kila la kheriππ½
Hakipo Kitu kinacho Guarantee Kumtuliza au kudumu Na Mwanamke Si Pesa Si Mapenzi Si Muda.Siku zako na huyo mwanamke ambae haumpi pesa zinahesabika chukua tahadhari. Usije kulia kilio cha mbwa mdomo wazi
Husipeleke maua tia hela
πππNasijui kwanini vibaba vyenye ukimwi vinajua kucare kwa kugawa hela na virusi.
Wachaa Wee.Tulieni bado tupo kwenye kikao cha wanaume. Tunajadili mambo ya msingi
Sio vichoyo kabisa ππ Ujue kula vidonge na kuvaa pampas tu.Jamaniππ