Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,438
- 3,951
Hajambo, jibu sasa swali ndo huwa unafanya hivyoMadam hajambo?
Hajambo, jibu sasa swali ndo huwa unafanya hivyoMadam hajambo?
Aisee, kumbe mbele yako tuko mbwa wengi kinoma, unachat na mbwa kibao

Ndio na hao ndugu zangu kwa hao wengine wanaonekana hivo hivoNao unawapenda, nao kuna wanawake wanawatazama kama unavyowatazama kaka na baba wa wenzio
Ndio namkiimbia hivoMbona mbio tena, unaogopa mbwa
Wapo mdogo wangi.... Tena wanapenda kweli kweli. Wanaume wanaojua kupenda kweli kweli bado wapo.
we sema unataka mwanaume wa kukugegeda kwa sasa huna, unazunguka zungunga nn? kwann ww hujawah umiza mwanaume?Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
baba yako na kaka zako watakuoa?Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Jiulize kwanini kila mwanaume anakuumiza,unaweza kuta Labda kwa kila mwanaume unayekuwa naye tabia zako zinakuwa zile zile hubadiriki ndio maana unAishia kuumia,jitafakari wewe kwanza kabla ya kutafakari wanaume uliokutana nao,na unaposema wanaume wote ni sawa unadanganya,mbona mimi sijawahi kuwa mpenzi wako,unaposema wote ni sawa inamaana umeshatembea mpaka na kaka zako baba zako wajomba zako na ndugu zako wote wa kiume,acha kutukosea heshima,usipobadirika utamegwa,utaachwa utanung'unika,alafu utakufa!!Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Jiulize kwanini kila mwanaume anakuumiza,unaweza kuta Labda kwa kila mwanaume unayekuwa naye tabia zako zinakuwa zile zile hubadiriki ndio maana unAishia kuumia,jitafakari wewe kwanza kabla ya kutafakari wanaume uliokutana nao,na unaposema wanaume wote ni sawa unadanganya,mbona mimi sijawahi kuwa mpenzi wako,unaposema wote ni sawa inamaana umeshatembea mpaka na kaka zako baba zako wajomba zako na ndugu zako wote wa kiume,acha kutukosea heshima,usipobadirika utamegwa,utaachwa utanung'unika,alafu utakufa!!
TUPOO...AAAH NIPOOO ila tatizo siwezi mpenda mwanamke mmoja tu..ntawpenda zaidi ya mmoja ila napenda najali na kuhudumia kweli. ILA KAMA NI KUKUPENDA UKWELI HAUTAKUWA PEKE YAKO SO KAMA HILO NDIO HULITAKI BASI POLE..WANAUME TUNA MAMBO YA KIUME TU HATUWEZI KWENDA AGAINSTSitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Aagh wapi!!mashine kitu nyingine wewe binti.Huitaji sex mashine hata.kidole tu kinatosha tena hapo nje nje tu wala huingizi ndani