Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,561
Kwa nini utuhukumu wote kwa ujinga wa mtu mmoja ambaye pia hujamtaja na hujaelezea madudu yake?Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli