Wanaume wote mko kama mimi? Wanabaiolojia pita hapa

Wanaume wote mko kama mimi? Wanabaiolojia pita hapa

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,592
Reaction score
17,560
Hi to everyone.

Nina tatizo, nikipanda mabasi hasa ya masafa marefu Jogoo anapanda mtungi isivo kawaida. Natunisha mpaka maumivu. Hivi hii ni hali ya kawaida? Yaani naumia.

The way forward please
 
Khaaa...ni wewe tu aisee hebu muone dakitari haraka
 
Panda tax nahisi tatizo lako litaisha alafu,fupisha safari,yaani tenga safari iliyo ndefu katika vipande vifupifupi .
 
Enzi za ujana wangu ilikuwa inanitokea sana. Nadhani sababu kubwa ni kukaa muda mrefu bila kitu cha kusumbua akili

Ila sidhani kama inaweza kuwatokea wanaume wote au wengi!
 
Sio kweli. Me so wa style hizo

Sasa ni nini.......?......wewe ukipanda ndege......ikaanza kupanda na kushuka si utatubaka abiria........

hebu jaribu kwenda hospital.........hii sio kawaida kabisa.........
 
Last edited by a moderator:
Sasa ni nini.......?......wewe ukipanda ndege......ikaanza kupanda na kushuka si utatubaka abiria........

hebu jaribu kwenda hospital.........hii sio kawaida kabisa.........

Ndege sijawahi panda.
 
ukiona inanyanyuka sana uwe unaifunga kamba au unaifungia kwenye begi afu tupia kwenye buti haitakusumbua wala kuuma tenaaa!!!
 
Mimi nilikuwa sijui km wachagga ndiyo wenye mitaro misschagga njoo ujibu tuhuma huku...

Kwani nani kasema wachaga wana mitaro?


By the way, barabara za Moshi ziko advanced. Mitaro razima itakuwepo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom