Wanaume weusi vs wanaume weupe

Wanaume weusi vs wanaume weupe

Aisee,ki ukweli hata Mimi binafsi mwanamke mweupe simpendi kabiiiisaaaa,mbaya zaida awe anajichubua ndo hd napatwa na kinyaa kugusana nae.

Usiniulize sababu aisee.
Mwanamke mweupe kwangu poa sana lkn awe naturally na asizd kama hawa madem wa kitizedi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom