Wanaume weusi vs wanaume weupe

Wanaume weusi vs wanaume weupe

Salaam..
Nilipokuwa mdogo.kabla sijawa mkubwa wa kujitambua nilikuwa napenda sana wanaume weupe.
Na akili za utoto tena, Nikawa nasema kwa nini baba hajawa mweupe,,
Pengine nami ningekuwa mweupe.

Tokea nimefikisha miaka kumi na mitano na kuendelea mpaka Leo.
Sijawahi kuwapenda wanaume weupe hata kidogo.
Sio kwa ubaya. Ila sina mapenzi na rangi nyeupe kabisa.
Angalau mwanaume awe na rangi ya Maji ya kunde,
Mda mwingine mpaka najiuliza vipi hawa wanawake wanawapenda wazungu??,
Ikiwa Mimi mwanaume akiwa mweupe haijalishi ni mwafrika au Mzungu si wapendi kivileee..sio kimapenzi hata kwa urafiki wa kawaida tu...

vipi wewe unavutiwa na mweupe au mweusi.
xax mbn hapo profil yako umewek mtu mweup au unamanish weup gani roho ama nn
 
Inaweza kuwa kweli dada

Manaan mm binafsi madem wakizungu hata aweje na avaaje sisimki kama dem wa kiafrica atakavyo nisisimua,

Yaani sina mzuka na wazungu kwenye ngono.
Me wazungu siwapendei ile flat screen tu! dah! hata awe mweus kama chungu cha bibi ake Bashite kule Koromije ila kama ni flat screen hanifai kwel kwel,,, not to that extent
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom