petrocaptain
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 211
- 122
Weupe raha kama si raha mbona hata nyie mnaedtpch mnafilta iwe nyeupe hahahahahahaahhaha
Huwezi kutofautisha wa kike au kiumena kuweka dawa na black aisee wanachefua ukute kavaa visuruali vyao wanaita vichupa na anavikalio halloo me siwez wabadilike
kaka tukae kimya huu hautuhusu...Kwa hiyo kwa lugha nyepesi huu uzi wa wanawake sio?
![]()
![]()
![]()
Kuedit sio kujichubua.... Black bwana.Weupe raha kama si raha mbona hata nyie mnaedtpch mnafilta iwe nyeupe hahahahahahaahhaha
Haaaaakaka tukae kimya huu hautuhusu...
Sababu haswa za kutowapenda hujazibainisha wazi.Au kuna mwanaume mweupe ulizama kimapenzi then akakuacha sasa unaleta chuki zako kwa wanaume wote weupe?Sio ubaguzi.hata wewe nahisi kuna kitu unapenza zaidi.vikiwekwa viwili kwa pamoja
Nahisi kupata bahati hapa sasa.....Tena ukimpata mweusi halafu awe mrefu kiasi, pia #$#@@ iwe saizi pendekezwa unaenjoy sana, hahahahahahaahahah
Siku zote nilijua wewe ni me kumbe ke?Basi sawa.Tena ukimpata mweusi halafu awe mrefu kiasi, pia #$#@@ iwe saizi pendekezwa unaenjoy sana, hahahahahahaahahah
Bahati hii sasa..Yaani.mapenzi mubashara yanakuwepo haswaaaaa
Sina sababuu yoyote.na wala sijawahi kuzinguliwa na mwanume Mweupe. Akinitongoza si nninakataa. Sina mapenzi na weupeSababu haswa za kutowapenda hujazibainisha wazi.Au kuna mwanaume mweupe ulizama kimapenzi then akakuacha sasa unaleta chuki zako kwa wanaume wote weupe?
Changamkia bahati
Mwanaume shurti uwe unatishatisha, sio mwanaume unakuwa mweupe pyee kama yule presenter anayejichubuaLeo macheusi dawa tumekumbukwa
Bahati ya nini???Bahati hii sasa..
Sio kunikenulia sasa

Siiwezi. Kwani black wanamihogo mikubwaaa.nipe mfano ukiweka na pic yako itakuwa nafuu kudhibitishaNahisi target yako ni mihogo mikubwa sio.....karibu!
Tuko wengi asee.. Kweli leo tumekumbukwa mablacklistMkiamua kutafuta wanaume weusi, mjue Mimi pia mweusi!